Hivi kweli sugu anafaa kwenda bungeni au ushabiki tu
Mariaaa!, Mariaaaaeh! Sikiliza muziki wa awamu ya tano Mariia! kwa kweeeliii sasa nimenaswa sina ujanjaeeeh sina ujanjaaeeh, nasononeka ....:smile-big:
the truth is Iringa-Chadema kata 14, CCM 2. Njombe ccm inaongoza
Jamani,
Leteni matokeo mazima. Kwa vituo mlivyoleta hadi sasa nimetumia ile document yetu na hadi hapo KIKWETE alikwa anaongoza kwa 49.79% akifuatiwa na Dr. SLAA ambaye alikuwa na 49.18%.
Yaani Kikwete alikuwa anamzidi SLAA kwa 0.61%.
Kwenye ubunge hapo Iringa Mjini CHADEMA hadi hapo inaongoza kwa 59.40% wakati CCM ina 38.14.
Check document niliyo-attach humu, siju ni wangapi mnaitumia.
Sengwile. Mwe, bhayawe....!:israel:Kumbe Vanyulukolo va Kumwaga humu ndani:smile-big:
Akadodi NDAULI :doh:nyela ndauli vanyalukolo? maamuzi yenu nayaheshimu sana kuanzi kitwilu,kibwabwa, ipogolo indiuka kitanzini
uhindini mshindo mlandege kiodombi kihesa weraaa weraaaaa
CHADEMA tumeshapata halmashauri tatu mpaka sasa. Musoma mjini, Moshi mjini na Iringa mjini. tunasubiri matokeo mengine
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kuwa CHADEMA wamepata kata 20 kati ya 36 katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya na kata 18 kati ya 19 Arusha Mjini. Iwapo ni kweli haya ni mapinduzi makubwa kufanyika.
Tayari zipo taarifa za CHADEMA kuchukua jiji la mwanza, Bukoba, Arusha, Sumbawanga Mjini, Musoma, Mbeya, Iringa, Songea, Ubungo na Kawe. Kama ni kweli ni mapinduzi makubwa katika ademokrasia ya Tanzania.