Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Mtembezi yupo Iringa karibu kabisa na masanduku yanayorudishwa ukweli ni kuwa sehemu kubwa ya kata na vituo vya mjini chadema wanaongoza but ni vema kusubiri kwa sababu ccm wananguvu zaidi sehemu za vijijini ambako zoezi bado linaendelea
 
Sande wanyalukolo Inguluvi iwatangage mgendelega ludodi...............................
 
Tugendelage ludodi,ulukafu luladenyeka!!!! mapembelo sita vademi na vamenza va kho iringa!!!! mwalemi sana
 
the truth is Iringa-Chadema kata 14, CCM 2. Njombe ccm inaongoza

Jamani,

Leteni matokeo mazima. Kwa vituo mlivyoleta hadi sasa nimetumia ile document yetu na hadi hapo KIKWETE alikwa anaongoza kwa 49.79% akifuatiwa na Dr. SLAA ambaye alikuwa na 49.18%.

Yaani Kikwete alikuwa anamzidi SLAA kwa 0.61%.

Kwenye ubunge hapo Iringa Mjini CHADEMA hadi hapo inaongoza kwa 59.40% wakati CCM ina 38.14.

Check document niliyo-attach humu, siju ni wangapi mnaitumia.
 
Attachments

  • IRINGA MJNI.xls
    68 KB · Views: 103
Jamani,

Leteni matokeo mazima. Kwa vituo mlivyoleta hadi sasa nimetumia ile document yetu na hadi hapo KIKWETE alikwa anaongoza kwa 49.79% akifuatiwa na Dr. SLAA ambaye alikuwa na 49.18%.

Yaani Kikwete alikuwa anamzidi SLAA kwa 0.61%.

Kwenye ubunge hapo Iringa Mjini CHADEMA hadi hapo inaongoza kwa 59.40% wakati CCM ina 38.14.

Check document niliyo-attach humu, siju ni wangapi mnaitumia.

Duh asante mkuu.
 
CHADEMA tumeshapata halmashauri tatu mpaka sasa. Musoma mjini, Moshi mjini na Iringa mjini. tunasubiri matokeo mengine

Taarifa zisizo rasmi zinaeleza kuwa CHADEMA wamepata kata 20 kati ya 36 katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya na kata 18 kati ya 19 Arusha Mjini. Iwapo ni kweli haya ni mapinduzi makubwa kufanyika.

Tayari zipo taarifa za CHADEMA kuchukua jiji la mwanza, Bukoba, Arusha, Sumbawanga Mjini, Musoma, Mbeya, Iringa, Songea, Ubungo na Kawe. Kama ni kweli ni mapinduzi makubwa katika ademokrasia ya Tanzania.
 
Asante kwa hizi taarifa za awali, tuombe tuamke salama kesho ili tupokee takwimu za uhakika na kupata ukweli wa mambo.
 
Nasubiri maoni ya nafisi maggid mjengwa alikuwa anajifanya kuchambua chambua eti sijui nini vile. sasa cha moto umekiona. watanzania wa sasa hawaendeshwi na propaganda zinazotolewa na watu wa aina ya mjengwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom