Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Mchonga, asante kutujuza matokeo ya Iringa.Walioahidi kuja na data kama mupo tupen
 
Matokeo ya awali katika jimbo la Iringa mjini ambayo yalikuwa yamebandikwa vituoni hadi jana majira ya saa 3 usiku ni pamoja na kituo cha Stendikuu ambako mgombea Urais wa CCM Jakaya Kikwete alipata kura (50) mgombea wa Chadema Dk Willibrod Slaa (33) na Prof. Ibrahim Lipumba (1).

Ubunge mgombea wa CCM Monica Mbega (36), mgombea wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa (97) na mgombea wa NCCR-Mageuzi Mariam Mwakingwe (1)

Kituo cha Ngome namba moja mgombea urais wa CCM Kikwete (58) Dk Slaa (74) APPT-Maendeleo Peter Mziray (1), wakati nafasi ya ubungemgombea wa CCM Mbega (39)Msigwa wa Chadema (90) na Mwakingwe wa NCCR-Mageuzi (5)

Kituo cha Umati namba 1
Kikwete ( 98) Dk Slaa108 Mziray (1) ubunge Mbega (82) Msigwa (120) Mwakingwe ( 5),

Kituo namba 2 umatiKikwete (97) Dk Slaa( 98) Mziray (1) na TLP (1) huku ubunge Mbega (73), Msigwa (114) Mwakingwe (8)

kituo cha umati namba 3 Kikwete (64) Dk Slaa (57) Prof Lipumba (1), ubungeCCM( 58) Chadema( 64) NCCR-mageuzi(1).

Kituo cha FFU namba 1
Urais CCM (47) Chadema (63) huku ubunge CCM (36) Chadema (68), NCCR-Mageuzi (3)

Kituo cha FFU namba 2
Urais CCM (64) Chadema (57) na CUF (1), ubungeCCM (58) Chadema (64) na NCCR-Mageuzi (3).

Kituo cha IDYDC namba 1
Nafasi ya Urais CCM (62) Chadema (75) na ubunge CCM (46) Chadema (84) na NCCR-mageuzi (5)

Kituo cha IDYDC namba 2
Urais CCM (82) Chadema (68) na NCCR Mageuzi (1) Ubunge CCM (67) Chadema (78) na NCCR mageuzi (7).

Kituo cha THB
Urais CCM (97) Chadema (138) CUF (3) na ubunge CCM(75) Chadema(159) na NCCR-Mageuzi (2) kituo cha Gangilonga urais CCM( 88),Chadema(70) NCCR-Mageuzi (1)

Kituo cha Zimamoto namba 1
Urais CCM(84) Chadema(94) na CUF (2)

Kituo namba 2 Urais CCM( 103) Chadema (84) CUF (1) NCCR-mageuzi (1) ubunge CCM (87) Chadema(106) NCCR-Mageuzi (8)

Kituo cha soko la Kitanzini namba 1

Urais CCM( 79) Chadema(49) na CUF (1) kituo namba 2 Urais CCM(84) Chadema (68) na CUF (1), Ubunge CCM (70) Chadema(82) na NCCR Mageuzi (1) kituo cha Makorongoni ofisi ya mtendaji kata CCM Urais(66) Chadema (77) na CUF( 1), Ubunge CCM (49) Chadema (96) NCCR-Mageuzi (1),

Kituo namba 2 ofisi ya mtendaji kata ya Makorongoni
Urais CCM (81) Chadema (81), CUF (2) UPDP (1) Ubunge CCM (78) Chadema (108) na NCCR-mageuzi (5)

Hata hivyo matokeo hayo baadhi ya vituo hadi majira ya saa 3.30 usiku yakiwa bado kubandikwa na umati mkubwa wa wananchi wakiwa wamekaa nje ya vituo hivyo wakisubiri kutangazwa kwa matokeo hayo huku FFU wakizunguka zunguka mitaa mbali mbali ya mji wa Iringa kulinda amani japo hakuna vurugu zozote zilizopata kutokea jimbo la Iringa

SORCE: - Habari
Asante kwa taarifa hii inaelekea mchuano ni mkubwa siwezi kusema mshindi katika uraisi ni nani.
 
Kwanza uhakika wa kuwa na wabunge wengi wa upinzani ni mkubwa hilo halina pingamizi.
 
Tukiwa na wabunge zaidi ya nusu toka upinzani CCM watatia akili ata kama wataiba kura za Slaa to me ntakuwa nimefarijika
 
Ubunge CHADEMA wanaongoza kata 14 kati ya 16.SORCE-STAR TV
Saa ya ukombozi ni sasa
 
Tukiwa na wabunge zaidi ya nusu toka upinzani CCM watatia akili ata kama wataiba kura za Slaa to me ntakuwa nimefarijika

Siwezi kufarijika, rais is everything, huyu jamaa anateua kila mtu...no i will be disappointed.
 
wadau matokeo iringa mjini kata zote yameshatangazwa: Ccm wameshinda kata 2 na chadema wameshinda kata 14. Jimbo lina kata 16. Source: Star TV
 
Kati ya kata 16 za Iringa mjini, CHADEMA wameondoka na 14 na CCM wameokata 2; wananchi wameamua kufanya mageuzi ya kutosha -Source Star TV.
Monika vipi, presha inapanda presha inashuka. Mchungaji Peter Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hongereni wana Iringa mmetuwakilisha ipasavyo maana wengine tupo huku mikoa ya watu
 
Back
Top Bottom