Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Bado naendelea kukusanya matokeo kutoka vituo mbalimbali ila vyooooye ambavyo nimeshapita Chadema wamefunika mbaya...ccm wameachwa mbali mnoo!!

Sijaandika namba kamili sababu kuna pilika pilika isiyo ya kawaida...watu wanazumguka kituo hadi kituo kushangilia ushindi wa chadema...vituo vichache ambavyo nna uhakika navyo hadi sasa stendi kuu, mkwawa, makorongoni..vingine cvijui hata majina... ambavyo vyote chadema wameoongoza kwa kiasi kikubwa mnooo!! mji mzima hivi sasa ni kelele za ushindi tu!!
 
Kama mji unarindima watawezaje ndio imetoka hiyo. Maggid tupe news?
 
Back
Top Bottom