Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
Labda Ushindi wa misikitini
Mie nadhani ni ushindi wa bakwata sio miskitini. Maana misikitini kuna watu wenye busara na wanaotambua wajibu wa imani yao lkn pia kuna wachumia tumbo kama bakwata.
Labda Ushindi wa misikitini
Hivi hayo matokeo wanajumlisha kwa vidole au?????!!!!!
zittokabwe:Mabomu yanapigwa. Hali mbaya sana zittokabweuh yanapigwa mabomu kila mtu hoi machozi tu. Tumo hapa kambini kwetu Planetel Hotel ni machozi tu
Usikatae; umesahau waliokuwa wanasema msikipigie CDM. Hiyo ilikuwa dini au siasa?
Naskia cuf wameshinda.
Ukijiuliza hupati jibu, kuhesabu kura moja moja kwenye vituo na kujaza form za matokeo haichukui muda ( Manual process) , hii kuingiza matokeo yaliyopitishwa kwenye kituo ndani ya hiyo system ni tatizo !!!!! Ukiuliza NEC watakuambia haya ni mambo ya mahesabu ( utadhani ni mazito ) kumbe ni kujumlisha , wataalam wa hiyo system inabidi watuambie nini tatizoMm nashauri sisi wana jf walio weleji wa Tecknolojia tujaribu kutengeneza system ambayo itaweza kusaidia Nec Kwenye kuwaisha matokeo,ili kuepuka uchakachuaji,maana kuchelewesha hvyi hata mtu akishinda au kushindwa huwa anaamini kuwa haki haijatendeka,tunazidiwa na hata zambia jamani hii ni aibu kubwa.
Sorry kaka, kuna watu wanaudhi sana humu, unajua hatuchezi hapa, kama mtu anataka kucheza nadhani aende FaceBook sio hapa. Niwie radhi kaka, kanichefua sana huyu kijana.
huyu si kasema cdm wameshindwa kwa nini asitoek nje akawatangazia watu kuwa cdm imeshindwa!!! kuliko kukaa humo ndani akitoka machozi ya mabomu......
unajua wanahesabu na bastola zao, ndio maana imekuwa ngumu kupata matokeo
I wonder.......hii ingekuwa simple tu, angetoka aseme jamani tumeshindwa na kubalini matokeo nendeni mkaendelee na shughuli zenu.....hawa watu bwana
Hivi hayo matokeo wanajumlisha kwa vidole au?????!!!!!
Yeah! Mpaka waazime vidole vya viongozi wote wa ccm mpaka mabalozi wao.