Matokeo ya NACTE yametoka?

Kwa muonekano unaonekana kama we ndo kilaza,uko university unasoma shahada ya nini? maana hata kuandika haujui au ndo shahada ya ufugaji nyuki?
hahahahaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
fact
 
FACT
 
Ndio yaan walisema ni tarehe 14/09/17 lkn ad Leo chenga alafu tarehe 25/09 masomo yanaanza rasmi.duu watajiandaaje kama watachaguliwa mbali?
 
Hapo ni kwenda
Ndio yaan walisema ni tarehe 14/09/17 lkn ad Leo chenga alafu tarehe 25/09 masomo yanaanza rasmi.duu watajiandaaje kama watachaguliwa mbali?
pasipo ada wala nn wakiuliza unawajibu mlichelewesha selection hatujajiandaaaaaa
 
Sasa ccm inakujaje,,,ndo maana diploma ampewagi mikopi coz wengi amjielewi,,,GET WELL SOON LISU.
sio mikopi, sema mikopo.. namashaka na akili yako.. kweli kuna vizibo wanapewa mikopo hata kuunga maneno ni shida....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…