Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Yani huu ni uboya bin uboya nacte walicoment wenyewe kuwa wanarelease selection leo na masomo yanaanza trh 25 na kinachonishangaza mpk sasa hamna dalili najiuliza je system imedukuliwa au uzembe wa hawa watu wasiojulikana. Au wanafkir tnakunya ela wengne hapa watoto wa maskini. Inabd mtoe taarifa mapema tualike ukoo ujichange ili tuwaandae siku flani sas mnapotucheleweshea mnatunyima nafasi ya kuwahi chuoni. Nacte nyie mtalaaniwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kweli nimeamin mkuuThis is Tanzania
kwel bhan wanazingua
dah wanaturusha roho kichiz
Serikali wafukuzeni kazi wafanyakazi wa nacte wanafanya kazi kwa mazoea kabisa taasisi hii imekuwa ikilalamikiwa kila mara leo mlisema mnatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo lakini mjatoa na mmekuwa na mda mrefu sana wa kujiandaa kufanya selection lakini mpaka sasa hakuna cha maana mnachofanya na wiki ijayo mhula wa masomo utaanza je ? mnatusaidia kutulipia hali ya uchumi mbaya sasa hivi mngetoa majina mapema watu waandae pesa acheni uvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure bro, hali ni tete bora watoe mapemaYani huu ni uboya bin uboya nacte walicoment wenyewe kuwa wanarelease selection leo na masomo yanaanza trh 25 na kinachonishangaza mpk sasa hamna dalili najiuliza je system imedukuliwa au uzembe wa hawa watu wasiojulikana. Au wanafkir tnakunya ela wengne hapa watoto wa maskini. Inabd mtoe taarifa mapema tualike ukoo ujichange ili tuwaandae siku flani sas mnapotucheleweshea mnatunyima nafasi ya kuwahi chuoni. Nacte nyie mtalaaniwa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Please waitMe mwenyewe nimeapply mkuu... tena kitambo sana toka mwez May ila hadi leo naona kimya. Deadline yao ilikuwa Aug 8 sasa nashangaa mwezi 1 na nusu bado hawatoi selection..!!!