Matokeo ya NACTE yametoka?

Na ukiombaaaa upyaaaa utaomba chuo ganiiiiii maaana vyuo vyote vilivyobaki ving ni vya watu wanaojiendelezaaa na nafas ni chache Kwan umepataaa chuo gan
Mkuu vyuo vya afya pekeyake ndo vimejaa, me mbona nimeomba dmi hapa nasubr confirmation na nafasi niliambiwa zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…