Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Siyo kosa lake isipokuwa anasumbuliwa na utapia mlo, anajipendekeza kwa Kinepinepi ili apate per diem.
 
yani kuna watu wengine vichwa vyao vimejaa maharage tena huyu aliyetupia hii thread.

Itafahamika tu baada ya muda mfupi kama kichwa changu kima smart brain au maharage. Naamini wewe unaweza kujinyonga kama alivyosema Lusinde.
 
Kama mtajumlisha kura vizur haina haja kubishana zaid ya kunyanyua mkono,kukunja ngum na kunyoosha vidole viwil juu huku ukisema PEOPLE'S ......
 
Inawezekana wewe uliyeleta hii fu**** thread una wenda wazimu unakusumbua ******** wewe
 
yani kuna watu wengine vichwa vyao vimejaa maharage tena huyu aliyetupia hii thread.

attachment.php
 
Pamoja na tambo, kelele, uongo mwingi wa wilbroad slaa na baadhi ya wanachama wa kampuni ya chadema leo wameangukia pua huko igunga baada ya wana igunga zaid ya elfu 26 dhidi ya 22 mapipo'z kukishindisho ccm kw ushndi wa kimbunga...chakushangaza ni kwamba wale wachaga wacheche wanaojifanya cdm ni yao walikuwepo wote igunga pamoja na wale vibaraka wanaotumiwa na wachaga hao walikuwepo huko na wote kuambulia patupu...mfano wa vibaraka hao ni Tindu lisu, kabwe zito, wenje, hawa wamekula unga wa ndere...al in

Hizo RED zinaonyesha uwezo wako wakuchambua mambo ukoje! Hapa JF lazima tuheshimu maoni yako......!
 
Sasa wana JF naamini wataendelea kuanzisha thread na michango ambayo constructive baada ya joto la Igunga kwisha baada ya CCM kuimwaga CDM na vyama vingine vilivyoshiriki katika mchuano huo. Mengi yalisemwa ikiwamo CDM kushinda kwa 74% lakini kura zimeamua. Tunashukuru uchaguzi umefanyika kwa amani. Sasa Dk. atekeleze sera alizokuwa akinadi. Mimi si NEC lakini ukweli u wazi kwamba shughuli imekamilika.

Kamura hujatenda haki, umewasahau wengine wanao stahili hizo pongezi zako nao ni:- BAKWATA, TISS, POLISI, SHURA YA MAIMAMU,NEC, NA DC WA IGUNGA.
 
Slaa alishasema kuwa vijana wake wanalinda kura zisiibiwe sasa huo wizi umetoka wapi. Sisi CCM tunasubiri matokeo na kama tumeshindwa ni sawa tu lakini hatutarusha matusi kama hawa vijana wa Slaa humu JF.
 
Gamba gumu kabisa limevulika na ushindi umepatikana. Tumalizie sasa magamba yaliyobaki.
 
Slaa alishasema kuwa vijana wake wanalinda kura zisiibiwe sasa huo wizi umetoka wapi. Sisi CCM tunasubiri matokeo na kama tumeshindwa ni sawa tu lakini hatutarusha matusi kama hawa vijana wa Slaa humu JF.
Siwashangai kwa nini wanatukana kwa sababu matusi ndio sera zao na aina ya siasa waliyoichagua vijana wa Slaa. Hawajengi hoja kila wanachosema lazima kiambatane na neno FISADI na matusi. Halafu wahuni wa aina hii ndio wanaotaka kupewa dhamana ya kuongoza Tanzania.
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Kwani kata ndio zilipiga kura? Nadhani hii speaks volumes by itself Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26,266. CHADEMA 22,443) hata kama mmeshinda lakini kwa margin ndogo sana....CHADEMA is fast catching up with you....badala ya kukenua meno ungepaswa kujipanaga upya....halafu hii ndio nini? MAGWANDWA
 
Nnauye jr.huyu jamaa amekana kuwa yeye ajaweka post yeyote kwenye jf na kwenye fb ameremove wall ya matokeo ya igunga.Mod kwa nini ihi id ya nnauye jr isiwe blocked kabisa inaharibu sifa ya jf kwa mtu anaefahamika tena kiongoz wa juu ktk chama.huyu bwana umr wake bado mdogo lakini kwangu ni bro vitu anavyofanya sijaviafki kwanini awe muwongo kiasi hiki.mod mpe ban ya life.mtu muwongo ni mbaya kuliko hatari kuliko fisadi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom