Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Hili ni doa kwa NEC na uthibitisho tosha kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa kura.uchaguzi wa igunga ni VOID!<br>
 
Mbona mnataka kuitukanisha JF na kututisha member.Yaani kuna mtu mbali na Administrator anayejuwa uhakika wa ID za watu kwamba mwenye ID fulani ni fulani mwenyewe.Mbona kuna majina mengi yanayofanana na watu na hata sura zao kwani ndio wao kweli.
Hapa sasa tutafuata ushauri wa wikiliki
 
Wazee hii kitumnachangia hapa ni kuwa Nape ameshaikana kupitia TBC1 kuwa sio yeye ameandika ktk mtandao huu.
 
kwan mwenye mamlaka ya kutoa matoke ni nape au nec? Ndo maaana @mwana ccm ana matokeo yake! So yalshapangwa kuwa hyo!
Na hayo mabox ya kura feki yalyokamatwa yanatafta nn? Je n mangapi yameptshwa bla kuonwa? Tumewachoka ccm na wizi wa lazma!!

nape=ccm=nec!!
 
Akubali akatae NAPE ametangaza matokeo kupitia mtandao,hata mimi hicho kitu kimenikera sana wadau,maana nilikuwa macho mpaka saa nane na kitu hivi nikisubiri kauli ya mwisho ya Tume lakini ilikuwa kimya?Lakini ni wazi kwamba kama Nape ametangaza basi hata kama kuna makosa basi ujue kwamba Tume nayo itabidi ifanye hivyo.
 
[h=1]Topic: Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...[/h]

Page 1 of 6 1 2 3 4 5 ... Last Results 1 to 20 of 104



  • [h=6]View First Unread [/h]
  • [h=6]LinkBack[/h]
  • [h=6]Topic Tools[/h]
  • [h=6]Search Topic[/h]
  • [h=6]Rate This Topic[/h]
  • [h=6]Display[/h]



  • user-online.png
    nngu007

    Today 00:59
    #1
    JF Premium Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png



    Join Date : 2nd August 2010
    Posts : 2,356
    Rep Power : 28



    [h=2]
    icon1.png
    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...[/h]
    Nape Nnauye
    Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
    Na haya ni kata kwa kata...
    Mboto CCM 730- CHADEMA 302
    Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
    Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
    Itumba CCM1079 CHADEMA 590
    Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
    Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
    Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
    Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
    Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
    Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
    Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
    Choma CCM 1227 CHADEMA 918
    Kining. CCM 700 CHADEMA 451
    Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
    Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
    Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
    Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
    Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
    Bukoko CCM 1136 Chadema 931
    Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
    Ndembezi CCM 866 Chadema 806
    Chabutwa CCM 545 Chadema 581
    Ziba CCM 1053 Chadema 860
    Igoweko CCM 1051 Chadema 880
    Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
    Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
    OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!​




    Reply Reply With Quote
  • user-offline.png
    Nnauye Jr

    Today 01:02
    #2
    Senior Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png



    Join Date : 14th September 2008
    Posts : 152
    Rep Power : 24



    [h=2]
    icon1.png
    mmhhh MAGWANDA NNOMAAAAA CCM 26266 MAGWANDA 22443[/h]
    MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini​



 
KAMA KWELI KAKANA KITU BASI HICHI KIJITOTO CHA MZEE NNAUYE HAFAI HATA KUSHIKA NAFASI YA UKATIBU KATA!!!!!!!!!!!

Ni Jana usiku tu ambapo kiongozi mmoja wa ngazi ya juu sana kwenye Chama Cha Mapinduzi alipoibuka na orodha ndefu ya takwimu alioita MATOKEO RASMI YA UCHAGUZI WA IGUNGA na kutumwagia hapa jamvini hukua akitamba na maneno ya kejeli kwa watu aliowaita 'PEOPLE'S POWER sasa kwishni', leo hii inashangaza mno kusikia eti kakana ile THREAD alioanzisha na baadaye MOD wa zamu kuanza kuikimbiza hovyo kwenda kuificha uvunguni ambapo tayari tumeshaunyonya yote.

Ukigeugeu kwa kiongozi wa ngazi ya juu kiasi hicho cha Nape kwa Wana-CCM ambaye kauli yale yoyote ile, in publi or private, huchukuliwa kuwa ni OFFICIAL POSITION ya chombo anachokiwakilisha, ni jambo la hatari mno!!!

Kama kweli anadiriki kukana waka
THREAD yake nzima tulishaihifadhi mbali kabisa kutokana na hiyo BLANDER YA KISHERIA aliyoifanya basi huyu kijana wa Mzee Nnauye HAFAI hata kushika nafasi ya UKATIBU KATA - ovyo kabisa hamna kitu pale.

Nape na CCM kweli mnaleta 'mzaha za akina Rage na bunduki kuwarukia viunoni bila kutambua' katika masuala nyeti kama haya ya uchaguzi.

Kama haujui maana ya kosa la KIUFUNDI ulilolitenda basi nenda ukamuulize Mzee Mukama atakuelewesha pengine kwa kukulambisha kibao cha uso maana mpaka hapa
KUNA KILA DALILI uchaguzi wa Igunga kuingia DOSARI KUBWA hivyo kuhitaji tafsiri za hali ya juu kisheria.

NB: Na mpaka hapa ni vema ikaeleweka wazi kwamba KITU CHOCHOTE MATANGAZO YA MATOKEO YA UCHAGUZI kwa jina la Jimbo la Igunga KAMWE HAYAWEZI KUAMINIKA tena na mtu yeyote mwenye akili timamu na ufahamu wa sheria za uchaguzi.

Nape na CCM tayari mmeingiza taifa kwenye HASARA kubwa katika hili.
 
Huyu nepi ni rafiki yangu facebuk na ni yeye mwenyewe ameandika kwenye wall yake. Wenye akaunti facebook wa search nape nnauye wataona matokeo kwenye wall yake.
 
Hongera cdm, safari huanza kwa hatua moja ila safari yenu Igunga imeanza kwa hatua mia moja! Magamba hamna cha kujivunia kwa ushindi kiduchu wa uchakachuaji
 
Mahesabu yalimgonga pale alipotoa matokeo ya Kata moja mara mbili. Nadhani alichakachua vibaya hadi member wa JF alipohoji iweje Kata ya Mbutu itokee mara mbili na idadi ya kura iwe tofauti?

Kweni hesabu za Mbutu alizitoa zikiwa na idadi gani? ninavyojua kata ya Mbutu ni ngome ya CDM na hii ni kutokana na CCM na serikali yake kushindwa kujenga daraja la Mto Mbutu
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Nape Jr, nakushauri mdogo wangu uache siasa uchwara. Si wewe uliyeomba kugombea kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Ubungo baada ya CCJ kukosa usajili na wewe kubwaga Hawa katika kura za maoni za CCM? Usiongee kuyamaliza yote moyoni kwani inaonekana wazi kuwa urafiki wako na CCM ni mashaka tu.
 
MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Hongereni kama wanainchi wamewapigia kura kweli. Ila kama mmeiba kura na siyo ridhaa ya wananchi, kumbukeni mnadhulumu haki ya mtanzania ya kuchagua kiongozi amtakaye kwa mjibu wa katiba ya nchi.
 
wandugu nimerefer kwenye gazeti la citizen la leo matokeo ya kata nne tofauti na nape ameongeza figure za hatari nani mkweli?
 
Hii kata ya Mboto kaitoa wapi? hakuna kitu kama hiyo Igunga yote labda kwao Masasi....(Mboto CCM 730- CHADEMA 302)
 
Kama siyo yeye basi Mods waipige hii ID Nape humu mana itakuwa mwingine analitumia vibaya jina la nape mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom