Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Nape Nnauye
Matokeo Igunga.
Na haya ni kata
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
nape unakurupuka aupo makini na kichwa chako kilvyokikubwa uwezo wa kufkiri ni kama wa mtoto wa 4yr.ukiwa unapost kwenye mtandao kuwa makini shrikisha ubongo na macho si unatumia MASABURI tuuu.uhu ndio wizi wenu mtandao umekuumbua
 
We nawe ni kagamba fulani, Msimamizi wa Uchaguzi anawalalamikia wanaotoa matokeo kabla yake, wewe unajitia kihelehele kutoa hadharani matokeo. Umevunja kanuni za uchaguzi kinyero we! Au ndo kujihami baada ya kuona jahazi linataka kuzama?
 
what a poor comment from ana icon leader of ccm!!..there is a problem somewhere...look very bro!

Mkuu ujue tatizo wewe una vision wakati watu wengine wana mission,for sure it is a useless coment for person like Mnauye.Tatizo ukiingiza upenzi ktk siasa ni kuharibu tu.
 
Sasa wana JF naamini wataendelea kuanzisha thread na michango ambayo constructive baada ya joto la Igunga kwisha baada ya CCM kuimwaga CDM na vyama vingine vilivyoshiriki katika mchuano huo. Mengi yalisemwa ikiwamo CDM kushinda kwa 74% lakini kura zimeamua. Tunashukuru uchaguzi umefanyika kwa amani. Sasa Dk. atekeleze sera alizokuwa akinadi. Mimi si NEC lakini ukweli u wazi kwamba shughuli imekamilika.
 
Utale bu sindi ni ndete nduhu!(Ukubwa wa tikiti ndani ni mbegu tu!) We nape kichwa tu, Masaburi akiwaambia mnasema anawatukana
 
maskini ccm, mkapa+magufuli+mangula+mwigulu+wasira+..........u name them, wote chali, huo ndo upepo wa mabadiliko!taka msitake, cdm dume la mbegu!
 
Upupu mtupu, kama huna kazi nenda kasaidie hata wafagia barabara kwenye mji uliopo angalau nawe uwe busy.
 
dedication kwa waliochagua magamba kwa ujira wa khanga, cap na fulana, na vilemba.

subirini kugeukiwa.
 

Attachments

  • kigeugeu-jaguar.mp3
    784.1 KB · Views: 33
mimi nadhani CCM ndio walioumia zaidi considering namna walivyobana na CDM chama ambacho 2010 hakikuwa na mgombea IGUNGA
 
Matokeo mpaka leo bado,niya nchi nzima yanahesabiwa?nashangaa vyomo vya habari,si shangai hata Zambia walizuiwa lakini upinzani wakachukua
 
yani kuna watu wengine vichwa vyao vimejaa maharage tena huyu aliyetupia hii thread.
 
mimi nadhani CCM ndio walioumia zaidi considering namna walivyobana na CDM chama ambacho 2010 hakikuwa na mgombea IGUNGA

Hata CDM wameumia, wametumia chopa , walituma kikosi cha vijana na mamluki kibao, na uongozi wa juu wote ulikuwa huko.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom