Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

Ushindane na ccm,ushindane na CUF,USHINDANE NA BAKWATA,USHINDANE NA SHURA YA MAIMAMU,USHINDANE NA WANAZUONI WA KIISLAMU,USHINDANE NA HIJABU KWELI CHADEMA NOMA WAKO JUUUUUUUUUUU!

Ongezea na hii...... ushindane na serikali.
 
Kama mwaka 2010 Mr CCM walivuna kura 36,000 na 2011 kura 26,000, pungufu ni kura 10,000 zimeenda CHADEMA!
Kama mwaka 2010 Mrs CCM (CUF) kura 11,000 na 2011 kura 2,000, pungufu kura 8,000 zimeenda CHADEMA!
Kama 2010 CHADEMA hawakuwa na kura hata moja, mwaka 2011, miezi kumi na moja baadae kura 23,000 ni USHINDI,
Hizi kura 5,000 nyongeza kwa CHADEMA kupata kura 23,000 zimetoka wapi???
Nini kimetokea? Na hii ni dalili mbaya kwa Mr. and Mrs. CCM, na ni dalili njema kwa CHADEMA.
Hongera CHADEMA!

I like your analysis!!!

Nionavyo mimi: Wanaotakiwa kutoka Igunga wamenuna kwa tafakuri nzito ni CCM and CUF. Kama CCM walivyokaa na kutafakari nini maana ya kura za Kikwete kushuka kutoka asilimia 81 hivi za mwaka 2005 kwenda mpaka asilimia 61 hivi za mwaka 2010, ndivyo CCM wanavyopaswa kukaa chini na kujiuliza nini maana ya kura za ubunge wa Igunga kushuka kutoka kiasi cha kama kura 38,000 za mwaka jana mpaka kufikia kura hizo 26,000 za leo – na ndivyo CUF wanapaswa kujiuliza nini maana ya kura zao za ubunge kushuka kutoka waliouita mtaji wa kura 11,000 hivi za mwaka jana mpaka kufikia kura 2104 za leo!


Nionavyo mimi: CHADEMA wana kila sababu ya kuondoka Igunga na vicheko vya furaha. Pamoja na matope kiliyopakwa, ni wao pekee ndiyo kura zao zimepanda kwa kiasi cha kutisha! Kutoka kura 0 (zero) za ubunge katika Uchaguzi wa mwaka jana mpaka kufikia kura 23,260. Weka mwenyewe katika asimilia, halafu uone hilo ongezeko! Sijui wasingekipaka matope waliyokipaka mambo yangelikuwaje – bila shaka mnapata picha!

 
Angekuwa mchaga mwenzetu angalau tungemtafutia kitengo... sasa sijui tutamtupa wapi.
Dr. Kafumu huna huruma kabisa...Umemgaragaza mwalimu wa watu vibaya hivyo?
poor Kashindye .....Poor Chadema
Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kashinde kashindwa, sijui atafanya kazi gani sasa? inatia huluma sana mazee. CCM wamefanya vibaya sana.

Uwe na adabu unapokuja hapa JF..hii sio facebook...kwani kazi zimeisha hapa Tanzania? Wewe mwenyewe ni mzururaji tu mbona na sie hatusemi?
 
It is political immaturity to always think that things will go your way in politics. Let me congratulate Kashindye for a powerful and exemplary performance. President Sata of Zambia was defeated two times before he won the Presidency this year. WE CAN DO IT THE NEXT TIME.

I ask Chadema and specifically Freeman Mbowe and Dr. Wilbroad Slaa to take time and go back to Igunga and thank the masses who voted for Chadema. Tell the people that the struggle continues and victory is in sight. This is not the time to lament but to galvanize our actions and perfect our strategies for political ascendancy and the final march to victory. This is no time for complacency. LONG LIVE CHADEMA. A luta continua ,Venceremos!
Hawa ndiyo watu tunaowataka hapa JF, hata kama ni mnazi lakini anaongea logically.
 
Nimefuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Igunga wa tarehe 2/10/2011. Chadema Imeshinda, imevuna Kura 23,260 from ZERO ndani ya mwaka mmoja ikiwa Imeshindwa na CCM kwa kura 26,484 kwa margin ya kura 3224 huku kura 1185 zikiharibika kwa CHAMA ambacho uchaguzi uliopita kilikuwa hakishikiki Igunga,CCM, isitoshe wameshindana na vikwazo vingi sana katika njia ya kufikia hapo ilipofika IKIWEMO KUSHINDANA NA SERIKALI NZIMA, SERIKALI STAAFU i.e RAISI MSTAAFU N.K.

Kwa kuzingatia sapoti waliyoipata kwa wana-igunga, wakati huu wakifuatilia irregularities zilizojitokeza kipindi cha UCHAGUZI hata kama kulikuwa na wizi wa kura wasisahau HESHIMA kubwa waliyopewa na wana-Igunga. WAMEWAAMINI SANA TENA SANA SANA.

Ninachopenda kukishauri chama hiki pendwa na kilicho mioyoni mwa watanzania wengi kwa sasa, ni kuwa kuna umuhimu wa kuandaa mkutano/mikutano ya kushukuru wana-igunga kwa sapoti waliyotoa kipindi chote kabla ya kampeni, katika kampeni na kwa kuwapatia kura za kutosha 23,260.

I believe Great Thinkers,CHADEMA and all Tanzanians will support this Idea of a Freshbrain. God bless Tanzania, God bless Tanzanians and God Bless CHADEMA. Peoples' Power

Mnajipa moyo! Bwahahahaha
 
Huu ni ushindi mkubwa kama Chadema inaweza kushindana na serikali pamoja na wastafu wanashina kwa ushindi kama huu,MAKAMANDA PAMOJA SANA MUNGU AWABARIKI SANA NA KUWATIA NGUVU MSICHOKE KUTAFUTA HAKI siyo muda mrefu Mungu atajibu!
 
Kwa mtaji wa kilichotokea kati ya CUF na CCM kule Igunga, Chama hiki kimefanikiwa kujizamisha zaidi ya futi 7,000 chini ya ardhi kisiasa na itakua ni vigumu sana CUF kuchomoka humo wala kupata kiti cha ubunge Tanzania bara:

attachment.php




Hii habari ililetwa hapa JF wiki iliyopita kama tetesi lakini sasa kadri muda unavysogea ukweli unaanza kudhihirika.

CUF wameaibika sana katika uchaguzi huu kwa kweli, na helikopta hii inathibitisha pasi na shaka kwamba CUF ni CCM-B.

Nilibahatika kuona baadhi ya speech za Jussa, Mtatiro na Hamad Rashid kupitia tv Sibuka. Walikuwa wamejikita kuishambulia chadema na viongozi wake badala ya kueleza sera, sasa watu wa igunga wakaamua kuwashikisha adabu.
 
Hongera sana wapiganaji!

Uchaguzi huu umekuwa na mafanikio makubwa kuliko tunavyoweza kufikiri,mijadala iliyokuwepo wakati wa kampeni na hata sasa inayoendelea imefanikisha kwa kiasi kikubwa kutuma ujumbe kwa watanzania kwamba CCM hawana chao 2015.Tusikate tamaa tuendako si mbali.Hongereni sana

Aluta Continua
 
Uchaguzi wa Igunga umeacha somo jingine katika historia ya mageuzi nchini.Upinzani ulioonyeshwa na CDM ni salamu tosha kwa chama tawala kwamba mambo si mazuri kwa upande wao!CDM imeonyesha kukubalika kwa kiwango kinachomtisha kila mtu asiyekitakia mema!CDM kimeingia Igunga kikiwa hakina mizizi kabisa!Kwa muda wa wiki kadhaa kimeweza kutengeneza mtandao hadi vijijini ilipo ngome ya CCM,Pamoja na ukwasi wa CCM,matumizi ya silaha za moto na propaganda mbaya kabisa za udini bado matokeo ndio kama hayo!hongera!Kazi nzuri makamanda.Ndio maana tunasema cdm ni tumaini jipya!Huo ndio ukweli hata kama baadhi yetu hatupendi kuukubali.
 
Ivi unajua kuwa mahali popote kazini kuna likizo ya bila malipo?? Ivi Dr. kafumu kama angeshindwa angerudi kule Wizarani kutumikia ile nafasi yake ya ukamishina au ingekuwa ndo basi? ..........majibu ya maswali haya yanajibu swali lako!
 
kashindye kwisha habari! Kafumu kafumulia mbali.Maskini jeuri akarare mbere! Kweli aliye nacho atazidishiwa karibu CCM KASHINDYE huko kwa wachaga hamna ishu.Madiwani wa Arusha wangekuwa wachaga wasingefukuzwa.
 
Back
Top Bottom