Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
2,414
Haya mambo yapo kila chaguzi wala si mara ya kwanza. Ndo maana yanawasaidia sana CCM kuendelea kukaa madarakani kwa nguvu.

Zambia walikuwa na viongozi wenye kutaka mabadiliko ya kweli na si kukimbilia RUZUKU!
Chama
Gongo la Mboto DSM
 

jadia

Senior Member
May 5, 2011
150
15
kweli kabisa wamefanya vizuri sana igunga imagine ccm walivyohamia wote kule heka2 za uchaguzi, vitisho, vurugu, lakini CDM wamegawana kura almost nusu kwa nusu na CCM
 
22 Reactions
Reply
Top Bottom