Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,355
- 1,411
Kada ya ma CO au kada ya MD au kada ya Afya?Hii kada ilikuwa inaheshimika sana zamani lakini siku hizi magumashi anajipenyeza kabisa na kumaliza tena MD kabisa wakati zamani ukisoma PCB tu usipokaa vizuri unakuwa mwehu.
Kwahiyo CO sio daktar daa?CO sio daktari. Toa hayo maneno matokeo ya udaktari.
Clinical Officer (CO) ni non clinician physician. Si daktari. Daktari ni yule aliyesoma Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) au Doctor of Medicine (MD).Kwahiyo CO sio daktar daa?
Kada ya afya general wakati wa uhakiki wa watumishi hewa na mpaka sass kuna madaktari ( MD), CO'S manesi na ma technician mbalimbali walilala mbele na wanaendelea kulala mbele baada ya kutakiwa kuwasilisha cheti cha form fourKada ya ma CO au kada ya MD au kada ya Afya?
Wapeni heshima CO wote nchini coz wanachapa kazi kuliko ma MD wenu haoClinical officer hivi daktati?
Wivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?CO sio daktari. Toa hayo maneno matokeo ya udaktari.
CO sio daktari. Toa hayo maneno matokeo ya udaktari.
Aisee! 😡😡Nimepewa taarifa kua matokea yamefutwa , hivyo wanafunzi wote wanapaswa kurudia mitihan yao kuanzia cat one mpaka cat two then ndo watafanya nacte
Naona nacte wameanza kuwa wakali, yajayo yanasikitishaAisee! 😡😡
Vijana wasome aisee haya mambo yakigeuka ni hatari
Ni nani?CO sio daktari. Toa hayo maneno matokeo ya udaktari.
Clinical officer ni.. non-clinical .. ila ni clinical officerClinical Officer (CO) ni non clinician physician. Si daktari. Daktari ni yule aliyesoma Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) au Doctor of Medicine (MD).
Marking scheme ya clinical medicine level 5 huwa hazitumwi vyuoni isipokuwa level 4 so hapo tatizo limeanzia wizarani huko huko wajitafakari.Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tz nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo kilichovujisha mitihani itakuwa poa sana na kukifungia kabisaa!
Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.Clinical officer ni.. non-clinical .. ila ni clinical officer
Anyway.. wanasema sehem kubwa ya Watanzania n vichaa , here is one of them