MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Dont pressure me jamani le'ts wait for total results bwana....God bless cdm....amen.
 
Wanalinda na kuhakiki matokeo, vipi mshatengeneza ya kutangaza


hakyanani leo kuna kazi sijui chadema wataficha wapi uso wao kesho sipati picha.
 
Kata ya Akeri CCM imeogoza kwa kura nyingi sanaaaa
Nyingi sana ni ngapi??!!
Mavi yanagonga chupi??
Kawawekee dhamana wazee wako waliotumwa na bwana yako lowasa wakapenyeze box la kura pale maji ya chai
 
Dahh, CHADEMA ilianza vizuri lakini kila dakika zinavyokwenda wanazidi kuteketea.

CHADEMA poleni sana, matokeo mpaka sasa ukiyajumlisha CCM inaongoza.
 
Basi toa data, acha kubwabwaja!





Hali sio nzuri tena, mi niliwaambia wanaanza USA river sehemu ambayo ccm wanazomewa kila siku?
sasa mambo yamebadilika angalia kata ya olinde, we tofauri ya kura 1300 mchezo? inacover magepu yale ya mjini ya kura 20 vituo vingapi?
 
Pasco njaa kali huna lolote wewe Pambaaafffffffffff zako,linafiki likubwa weweeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!.

Taratibu ba ndugu, polepole, Pasco hakupiga kura Arumeru. Alitoa mawazo yake tu...ana haki ya kufanya hivyo.

Hasira hizi zinazotokana na kubadilika kwa mwelekeo wa matokeo.....ni hatari kwako kiafya. Tulia, hii ni siasa. Mabaya zaidi hayajaja, yapo njiani.

Sasa sijui matokeo ya jumla yakitoka utakuwa na hali gani??? manake itakula kwa CHADEMA....pole sana.
 
ngarenanyuki ccm 197..,cdm 46
king’ori.., ccm 112..,cdm 32
makiba ccm 93..,51cdm
patandi ccm 139..,87cdm
ambureni ccm 147..,34cdm
nkoariasambu ccm 104..,43cdm
kimundo ccm 67..,56cdm
sing’isi ccm 93..,49cdm
ngwaranga ccm 134..,33cdm..!

Nitaendelea kutoa updates zaidi...!

Acha fix mkuu!source plz!
 
jAMANI SISI WENGINE TUPO NJE YA NCHI TUNAFURAHI SANA KUSIKIA HAYO MATOKEO, mWENYEKITI ALIKUWA SAHIHI KUSEM TULINDE MATOKEO KWA NGUVU ZOTE, HONGERA CDM, NA WADAU KWA KUTUHABARISHA
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom