MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Mkuu tunaomba ujielewe kidogo...hayo matokeo ni yako tena ni ya uongo...kuna vituo umetudanganya..Ambureni, Patandi..kote CDM wameongoza..
 
Ngoja nikaagize mbuzi mzima pale simba grill au garden
 
Mbona wana chadema wamekimbia jukwaa ?
 
CCM wataiba tuu

Mara zote CCM ikitoa kipigo kwenye uchaguzi, utetezi wa magwanda huwa ni ...kuibiwa kura....kuchakachua matokeo....bla bla....

Tulia, subiri kipigo. Kwa wenye kuangalia mambo ya nyakati...it was obvious kwamba ITAKULA KWA CHADEMA.

Wa-Tz si wajinga!
 
Tuhabarishe, huamini unachokiona na unachokisia hapo Arumeru, vipi mambo yameendaji tupe updates
 
Safi sana makamanda tuendelee kupashana habari.PEOPLE'S......POWER....!
 
Msiwe na haraka kuna vituo zaidi ya mia tatu
Sure mkuu!!!

Kumbuka kma wazee wa ccm wanaweza kwenda na box la kura maji ya chai, itakuaje kwa vijiji vya mbali na barabara??!!
 
Hakika Pasco wewe ni mnafiki mkubwa.....

Hivi si wewe kuna kipindi ulisema kwamba CCM tayari(mara baada ya kumpitisha Siyoi) imeshinda jimbo la Arumeru na kinachofanyika ni kufuata utaratibu tu.....

Halafu......Hivi ni sahihi kusema CCM imepata kiigo cha mbwa mwizi kwa matokeo ya vituo visivyozidi 100 ilhali jimbo lina vituo zaidi ya 300?....

Hypocrisy???.....
Ni vigumu sana kumuelewa Pasco wakati mwingine.Anajua kabisa haya matokeo ya awali hayatoi picha halisi kwa upinzani kama itaibuka kidedea.Mtazamo wangu, Pasco anachofanya hapa ni kufariji watu
 
Mara zote CCM ikitoa kipigo kwenye uchaguzi, utetezi wa magwanda huwa ni ...kuibiwa kura....kuchakachua matokeo....bla bla....

Tulia, subiri kipigo. Kwa wenye kuangalia mambo ya nyakati...it was obvious kwamba ITAKULA KWA CHADEMA.

Wa-Tz si wajinga!

Mkuu hivi inawezekana kituo kimoja kikawa na wapiga kura 2000?
 
Mbona wana chadema wamekimbia jukwaa ?
Hali sio nzuri tena, mi niliwaambia wanaanza USA river sehemu ambayo ccm wanazomewa kila siku?
sasa mambo yamebadilika angalia kata ya olinde, we tofauri ya kura 1300 mchezo? inacover magepu yale ya mjini ya kura 20 vituo vingapi?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom