MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
ushirika akeli chadema70 ccm115, shuleni1 chadema 46 ccm250, shuleni2 chadema 33 ccm268, kirundo chadema68 ccm181, chadema61 ccm150, chadema 72 ccm183.

Malaria huanza poooolepole
 
Hamjaibiwa ndo U-TURN nlisema subirini we vituo 20 tu ndio vimetangazwa kati ya 350 mnaanza kushangilia? sasa hebu cheki gepu lile lime cover zaidi ya vituo 15 walivyoongoza CDM.

umesikia habari zilizothibitishwa kuhusu kura za wizi zilizokamatwa ??? watu kama nyie mnazingua sana! Mungu tu anisaidie lakini kiukweli mnatia hasira sana nyie
 
Mpaka sasa...

Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni

misufini "A1"CHADEMA 209, CCM 52

misufini "A2" CHADEMA 195, CCM 40

misufini "A3" CHADEMA 208, CCM 45


Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50

Makumira D - CHADEMA 68, CCM 40

ngaresero 116 51

kisambale "1" 110 63

kisambale "2" 113 56


s/m mazoezi(patandi) "1" 120 49


'' '' "2" 128 50

" " "3" 127 50

" " "4" 124 45
Mkuu naamini upo online. sio kwamba nakukrash nifanyie fever moja tu ili furaha yangu ikamilike. Hii thread ifanyie edit yote kila unapopata matokeo. inajirudia mara kwa mara.
 
Kuna zaidi ya vituo 300 na hadi sasa ni vituo kama 20 tu ndio matoke yametangazwa na vingi ni vya mjini, tuwe na subra.
Tunaomba amani idumishwe!
Wewe endelea kusubiri hivyo vituo 300 wakati wenzako wakizidi kuongeza idadi ya kura.
 
Kweli CCM imeanza kupumua namuona Masako ambaye ni kada wa CCM sasa ndio ameanza kuongea kwa kujidai na ile style yake ya Kimasako Masako

pasco wp leo baba mkwe EL anasemaje?
 
ngarenanyuki ccm 197..,cdm 46
king’ori.., ccm 112..,cdm 32
makiba ccm 93..,51cdm
patandi ccm 139..,87cdm
ambureni ccm 147..,34cdm
nkoariasambu ccm 104..,43cdm
kimundo ccm 67..,56cdm
sing’isi ccm 93..,49cdm
ngwaranga ccm 134..,33cdm..!

Nitaendelea kutoa updates zaidi...!
 
Masemi
a, CDM 84, CCM 58
B; CDM 113, CCM140
singiti maweni CDM 88,CCM 100
elimu patandi
CDM 101, CCM 49

sina mtaa CDM 30, CCM 94
miembeni CDM 96, CCM 102
mjimwema a, CDM 141, CCM 51
mwivala CDM 123, CCM 34
ngareselo a, CDM 116, CCM 51
kikwarika s/mtaa CDM 88, CCM 92
ushirika njari CDM 164, CCM 102
kisambale CDM 113, CCM 53
makumira smtaa CDM 47, CCM 8
PORI SMTAA CDM 85,CCM 70
MAKIBA MANAJENGO CDM 93,CCM 87
 
Si walisema waliojiandikisha ni 12700 basi hata kama waliopiga kura ni 80% basi wamtangaze Nassari mshindi kama hayo matokeo ni ya kweli

Mkuu waliojiandikisha ni 127,455 vituo 327
 
Hivi maximum namba ya wapiga kura kwa kituo kimoja ni ngapi. Haiwezekani kituo kimoja kikawa na wapiga kura zaidi ya 1000
 
sifuri tunaidharau lakini muhimu kweli, hebu ongeza sifuri moja hapo mwisho uone namna conclusion yako itavobadilika
 
Wanabodi kwa kadri matokeo ya awali ya Arumeru yanavyozidi kutoka, vituo vyote vilivyotangaza matokeo ya awali hakuna hata kituo kimoja ambacho CCM inaongoza!.

Inawezekana CCM imekula kipigo cha mbwa mwizi!.

Mimi nilijiaminisha uchaguzi ulisha kwisha kitambo leo ilikuwa ni uthibitisho tuu!.

mnafiki mkubwa...........
 
kwalesambu

mbaseli cdm 84 ccm 58
kwalisamba cdm 113 ccm 140
elimu cdm 101 ccm 46
maweri cdm 88 ccm 100

sinai cdm 30 ccm 94
miembeni cdm 96 ccm 102
mjimwema A cdm 144 ccm 87
mwibaru cdm 123 ccm 34
ngaresero cdm 116 ccm 51
kikirika??? Cdm 88 ccm 92
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom