MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Hivi kuna tatizo gani JF wakuu?.....Naona button ya New Post haipo na pia orodha ya watu wanaoibrose hii post haipo..!!!

Mkuu kuhusu orodha ya watu wanaobrowse nafiki ni bora waiondoe kwa muda sasa kwa sababu kuna watu wana-copy majina ya members wanaobrowse na kupost. Hii inawaadhiri sana wale wanaotumia simu na wenye computer lakini internet connection ni slow. Maana unakuna thread kama hii watu ni wengine halafu unaanza ku-scroll down na simu zetu za mchina inakuwa ngumu kidogo. Hope itarudishwa baada ya chaguzi kuisha.
 
Tofauti ya kura 400 tu acha uongo wewe gamba!
Ni kweli,pale akheri! Ccm wameipita chadema zaidi ya kura 400,na hofu yangu ni kuwa tofauti hii inacover tofauti ya kura zote ambazo Cdm wameipita ccm katika matokeo tuliyoyaona hapa!
 
Amina jina la bwana libarikiwe sana,peoplea power!
 
Ha-ha-haaa!!...hadi raha.

Siyoi andaa suti ya kuingia mjengoni .....

hohoohoou...wacheza na ccm wee????--- utakoma ubishi.
 
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50
 
Inashangaza hii thread imekimbiwa baada ya upepo wa matokeo kubadilika.

Hii inathibitisha hisia kuwa wengi humu JF ni Magwanda.

UMIENI KWA UPENDO.
 
mpaka sasa hvi mchuano ni mkali sana huko arumeru vyama vya chadema na ccm vyaendelea kuchuana kwa kasi.:wof:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom