MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, zilizoharibika 0.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50

naomba Mungu hii no iendelee kusomeka hv hv yasije kuwa yale ya igunga
 
Sijaelewa kabisa, Matokeo wanayotoa sasa hv ITV wanayatoa wapi mbona nitofauti na ya Star Tv.
 
Ni mapema sana CDM kushangilia kwenye hii dunia hamna mabingwa wa kuiba kura kama magamba
 
ushirika akeli chadema70 ccm115, shuleni1 chadema 46 ccm250, shuleni2 chadema 33 ccm268, kirundo chadema68 ccm181, chadema61 ccm150, chadema 72 ccm183.

Duu yani hapa tu magamba ndio wamejitutumua lol,EL alikuwepo nini hapa?
 
Sijui niamini matokeo yanayotolewa na nani, Ngoja nisubiri tume ya uchaguzi!!! hapa mnanichanganya tu!!!
 
nkwarua cdm520 ccm 229

hii tamu sana, ila kuna kituo eti ccm wamepata zaidi ya 1400 wakati cdm hata 2 hawajafika, hapa panahitaji uchunguzi, tutaibiwa hadi lini?
 
uchaguzi wa madiwani kata ya kirumba chadema wameshinda oyeeeeeeeeeeeee
 
Kwa mjibu wa Tumain Makene CHADEMA wanaongoza kwa kura zaidi ya 2,425
 
Ok, ngoja niingie mitini, nitakuja hapa matokeo yakiwa tayari. Sasa hivi napata pressure isiyo ya lazima. Baadaye wakubwa.
 
mwivaro cdm 123 ccm 34
ngaresamvu cdm 163 ccm 140
makumira cdm 47 ccm 8
ushirika 164 ccm 102
 
ushirika akeli chadema70 ccm115, shuleni1 chadema 46 ccm250, shuleni2 chadema 33 ccm268, kirundo chadema68 ccm181, chadema61 ccm150, chadema 72 ccm183.

Akeri awajamtupa kijana wao japo hazijatosha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom