Math challenge

Math challenge

FB_IMG_1745825052772.jpg
 
Hiyo kulikata/kulikunjuwa, unafanya kichwani ili unapata formular hii ya surface area of a cylinder = 2πr(h+r) (where r is the radius and h is the height).
Huyu jamaa uongo wake ulianzua hapa 😁 kutafuta eneo la mche duara ulio wazi pande zote formula sijui kaokota wapi ..haya ni madhara ya kukrem formula bila ya kujua logic yake 2πr ni mzunguko wa duara yote ukizidisha na kimo h ...unapata eneo la mche duara. Akaja yule ERoni kumuunga mkono kuwa yupo sahihi😁😁😁😁 awajamaa ni waongo naxwabishi wanadhani wanaweza kunidanganya mimi ninaye jua logic ya formula za hisabati ..
 
Huyu jamaa uongo waje ulianzua hapa 😁 kutafuta eneo la mche duara ulio wazi pande zote formula sijui kaokota wapi ..haya ni madhara ya kukrem formula bila ya kujua logic yake 2πr ni mzunguko wa duara yote ukizidisha na kimo h ...unapata eneo la mche duara. Akaya yule kumuunga mkono kuwa yupo sahihi
Jibu swali la evaluation of Γ(5/2) mambo ya surface area tulishamaliza.
 
Back
Top Bottom