Math challenge

Math challenge

Ningekuwa daslama ningewatafuta pyaar, chamoto, eroni na lwiva ili wanifundishe au wanifundishie mwanangu

Nadhani kwa collabo hiyo ningekuwa mbali mno
Wanaweza kutengeneza kitu kikubwa sana kwenye hisabati
 
Kama ni hivyo, kwa nini 4÷2(2-1) tusianze na 4÷2, then tuendelee na expression.?
Hoja yangu ni kwamba, 2(2-1) is a single block, lazima umalizane nayo kwanza kabla ya kwenda popote, regardless ya sign iliyopo nyuma/mbele.
Kanuni ya mabano kwenye magazijuto ina fanya kazi tu kwa vitu vilivyopo ndani ya mabano siyo nje ya mabano ...ukisha kukokotoa vilivyopo ndani ya mabano hapo kinachofuatia ni GAWANYA kisha ZIDISHA
 
M
Kama ni hivyo, kwa nini 4÷2(2-1) tusianze na 4÷2, then tuendelee na expression.?
Hoja yangu ni kwamba, 2(2-1) is a single block, lazima umalizane nayo kwanza kabla ya kwenda popote, regardless ya sign iliyopo nyuma/mbele.
Bumbumbumbumbumbumb7mbumbumbu over hadi mnadai calculator imekosea nyinyi wote watatu mnao pongezana mnashaili tunzo ya umbumbumbu
 
Scientists/mathematicians hawapo hivyo, kwanza sio waongeaji sana. Atakaa kwenye mfumo wa kistaarabu hana namna.
Kama nyinyi siyo mambumbumbu nataka mnipe logic ya BODMAS kwanini ilibuniwa kwanini imepangiliwa kwa .pangilio huo je waliamua tu au kuna sababu ...kwanini mabano yatangulie gawanya na kwanini gawanya itangulie zidisha ...kama uwezi kujua sababu basi jua ndiyo maana ujui kwanini hiyo hesabu inafanyika hivyo ...kwanini isiwe MAZITOJUGA au ZIMAGAJUTO NK . kwanini MAGAZIJUTO? ukiweza kufahamu sababu basi msingekuwa unabisha upumbavu na kubishana kipumbavu
 
E
FB_IMG_1745821966597.jpg
 
Kama ni hivyo, kwa nini 4÷2(2-1) tusianze na 4÷2, then tuendelee na expression.?
Hoja yangu ni kwamba, 2(2-1) is a single block, lazima umalizane nayo kwanza kabla ya kwenda popote, regardless ya sign iliyopo nyuma/mbele.
According to you tubadili MAGAZIJUTO NA KUITA MABGAJUTO kwanini hiyo dhana ya block isinge pachikwa ndani ya neno magazijuto kuwa MABGAJUTO ?
 
Back
Top Bottom