Naona uvivu r=14Opened Cylinder (both sides)
The length = 100cm
The diameter = 28cm
Umekosea hskuna rectangle hapoSwali lako haliko wazi. Ungeonesha hiyo area, kwa kuweka kivuli, la sivyo unamaanisha tutafute the surface area, ambayo itajumuisha na area of the rectangle .
A = 2 x pie x r x l + 2 x pie x r²Opened Cylinder (both sides)
The length = 100cm
The diameter = 28cm
Find the area and its circumference.
Mimi siyo mwalimu.HIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
Siku 100 ukaona unapoteza muda mkuu? 😁HIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
Ukilikata hilo pipa na kulinyoosha unapata mstatili na miduara miwili, ndiyo maàna inaitwa surface area, ni eneo la 3D.Umekosea hskuna rectangle hapo
Hakuna wa kukuambia profession yake hapa, wewe changamsha tu ubongo mkuuHIVI KATI YETU KUNA MWALIMU HAPA KWELI MAANA AJABU JF WATU UJIFICHA FANI ZAO NA KAZI ZAO ...MIMI SIYO MWALIMU NILIISHIA LA 7 NIKASOMA SEC SIKU 100 TU
Umenikumbusha darasa la 3 na 4 😁😁😁😁 hivi hizi hesabu za vichumba chumba bado zipoTumalizie na hizi.. Wakali wa maumboView attachment 3313381
Na hiki kimvua mvua, maswali 5 unapata joto kabisa😁Hakuna wa kukuambia profession yake hapa, wewe changamsha tu ubongo mkuu
Sasa ulikate la kazi gani 😁😁 unaweza kulikata ukapata hata ramani ya tanzania 😁😁Ukilikata hilo pipa na kulinyoosha unapata mstatili na miduara miwili.
Kimvua kinataka either faru john au blanket chapa mtu mama😅Na hiki kimvua mvua, maswali 5 unapata joto kabisa😁
Mikasa nilikuwa nafukuzwa hizo siku mia nimesoma secondar 2Siku 100 ukaona unapoteza muda mkuu? 😁
Hahaha!Mikasa nilikuwa nafukuzwa hizo siku mia nimesoma secondar 2
Kwa tusiotumia faru John, the second option saves. Hahahah!Kimvua kinataka either faru john au blanket chapa mtu mama😅