Math challenge

Math challenge

Mkuu, nafikiri ni kutokuwa makini tu, 0 ni sifuri tu either +ve or -ve.

Tumekupata mkuu.

Kwenye hesabu mbali ya kujua pia umakini unahitajika. Unaweza kuwa vizuri lakini kutokuwa makini kukakupoteza.
Kuna hesabu ya pai sijui umeileta wewe imezua changamoto mimi nimesema ni (2×3.14×r)h watu wakabisha
 
Hata hapo kuna kosa japo jibu ni sahihi muvu yako inamakosa ...sipendagi kuonyesha kosa maana wengi wananionaga nawavuruga ila umekosea kitu.
Ndiyo:
-2 + 4 = 2
10 + 2 = 12.
 
Let's have this for lunch
FB_IMG_1745487985449.jpg
 
Back
Top Bottom