The Brotherhood Discussion.

The Brotherhood Discussion.

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,702
Reaction score
2,906
Swahili

Majukumu ya mtoto wa Kiume (Mwanaume) kwenye dunia ya leo:

Kuhakikisha kazi, familia, uchumi, na malengo binafsi yanapewa muda sahihi bila kuharibu lengo mojawapo. Wakati mwingine matarajio yetu hayatimi , lakini huwa tunaendelea kujifunza kadiri siku zinavyoenda.

Je ni changamoto gani kubwa unayoikabili hivi sasa?

Je ni tabia gani/zipi zinakusaidia kumudu presha za kila siku na kusonga mbele?

Weka maoni yako tushirikishane uzoefu na kuinuana.

English
Men's Responsibilities in Today's World:

Being a man in this modern world means balancing career, family, finances, and personal goals. Sometimes our expectations face darkness, but we're all figuring it out as we go.

What’s the biggest challenge you’re facing at the moment?

What mindset or habits help you handle daily pressures and keep moving forward?

Drop your thoughts below let’s share experiences and support each other.

 
Back
Top Bottom