Math challenge

Math challenge

Brother, hizo AI models sisi tulianza ku train neural networks toka 2010 kwaajili ya kubreak chaptcha. Hizi LLM bado haziko vizuri kwenye hisabati, zinamakosa mengi sana. Jaribu kutumia tofauti tofauti kama chatGPT, Deep seek, Liama, Claude, 03-mini, Mistral na Gemini utaona zinatoa majibu totauti.
Nimekuwekea video za YouTube
 
Hii ni calculator ya simu yangu umeona jibu
 
Attachments

  • Screenshot_20250427-224819_Calculator.jpg
    Screenshot_20250427-224819_Calculator.jpg
    89.9 KB · Views: 9
be5b0dff-d6c2-43b2-8e5a-a4de3aa747da-jpeg.3314290

Ni 25

Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7

30/35 = 6/7
12/14 =6/7

za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7

(36/49) = 6/7

Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5

12/30 = 2/5
14/35 = 2/5

Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina uwiano wa 2/5

Let the unknown be x

square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25

✅✅✅✅
8D45A3E5-5C87-4BD1-9F9E-950D37FD86E9.jpeg
 
Nimekuwekea video za YouTube
Video za youtube kila mtu anaweza tengeneza kaka.

Ukiangalia kwenye application nyingi kama google calculator 8 ÷ 2(2+2) huwa inakupa jibu la 16 kwasababu zinatumia logic ya 8/2*(2+2) ambayo siyo sahihi, 2*(2+2) siyo sawa na 2(2+2), unapozungumzia presedence. Mfano hii C program hapa chini ita kupa 16. Ukitaka kutumia program iliyotengenezwa kwaajili ya hisabati tumia mathematica.
C:
#include <stdio.h>

int main() {
    // Define the variables
    int a = 8;
    int b = 2;
    int c = 2 + 2; // This evaluates to 4

    // Perform the calculation
    int result = a / b * c; // This evaluates to 8 / 2 * 4

    // Print the result
    printf("The result of 8 ÷ 2(2 + 2) is: %d\n", result);

    return 0;
}
 
Tumia akili kwa hiyo calculator aikuumbwa kufanya hiyo hesabu ya y÷z(g+g)=🙄☠ wewe ni mbumbumbu bali iliumbwa kufanya hesabu ya y÷z×(g+g)=🙄☠ tu...sasa toa sababu kwa nini calculator wasiweke aina hiyo yenu ya ufanyaji hesabu inamaana calculator zote zinamapungufu (makosa) bali wewe mmatumbi mbumbumbu ndiyo unajua sana
Kama unasema hii z(g+g) siyo sawa na z×(g+g) wewe ni mbumbumbu kwa sababu ni SAWA SAWA kama kusinge kuwa na hayo mabano ingekuwa tofauti .
 
Ukiwana hoja tena ya kujadiliwa namna hii then unatumia maneno kama mbumbumbu unawakosea sana watu. Katika kuelimishana lazima lugha za staha zitumike, thats why we call you educated and the like.

Sema jamaa wa watu ni mpole tu hataki kuzozana.

Mimi nauliza tu a(b+c)
Kanuni zinasemaje hapa.
 
Ni sahihi maana umbumbumbu una vigezo vyake vikitimia lazima upewe jibu sahihi la umbumbumbu..nilisha toa fafanuzi na elimu nyingi sana ¼(2+2)=1÷4(2+2) chunguza maana ya hizi hesabu utajua kwanini hiyo 4 aina sifa ya kuzidisha na hizo 2 ndani ya mabano
 
Kuhusu a(b+c) mnacho kosea hapo ni kitu kimoja tu hiyo njia mnayo tumia nyinyi inafanya kazi na hesabu zote isipokuwa panapo kuwa na alama ya gawanya nyuma ya hiyo (a) kwa sababu alama ya gawanya inabadili maana ya hiyo (a) kuwa sehemu mfano 1÷4(2+2)= hii hesabu maana yake ni ¼(2+2)=
Ila zikiwa hivi
1×4(2+2)
1+4(2+2)
1-4(2+2)
Njia mnayo tumia inakuwa sahihi
Mfano
1+4(2+2)=
1+4(4)=
1+(4×4)=
1+16=17 jibu sahihi unaona nimepata jibu sahihi kwa kufanya kama wewe unavyo sema ila kukiwa na gawanya hiyo 1 na 4 zinakuwa robo...tumieni akili
 
Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.

Mie nikishaona mtu ni mbishi halafu ubishi wake hauna maana huwa siwezi kubishana naye.

Napenda ustaarabu, napenda watu wastaarabu.

Kama katika maisha ya kawaida pia yuko hivyo basi watu wanaomzunguka kazi wanayo.

Nilimsoma tangu day 1

Good morning wastaarabu wenzangu!!!
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😁
 
Kama ni hivyo, kwa nini 4÷2(2-1) tusianze na 4÷2, then tuendelee na expression.?
Hoja yangu ni kwamba, 2(2-1) is a single block, lazima umalizane nayo kwanza kabla ya kwenda popote, regardless ya sign iliyopo nyuma/mbele.
 
Ni sahihi maana umbumbumbu una vigezo vyake vikitimia lazima upewe jibu sahihi la umbumbumbu..nilisha toa fafanuzi na elimu nyingi sana ¼(2+2)=1÷4(2+2) chunguza maana ya hizi hesabu utajua kwanini hiyo 4 aina sifa ya kuzidisha na hizo 2 ndani ya mabano
No way, hatuishi hivyo, let me tell you one thing, don't brag too much hata kama unaona unajua kuliko wengine.
 
Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.

Mie nikishaona mtu ni mbishi halafu ubishi wake hauna maana huwa siwezi kubishana naye.

Napenda ustaarabu, napenda watu wastaarabu.

Kama katika maisha ya kawaida pia yuko hivyo basi watu wanaomzunguka kazi wanayo.

Nilimsoma tangu day 1

Good morning wastaarabu wenzangu!!!
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😁
Ngoja tufundishane namna nzuri ya ku-interact l, sababu nayo ni elimu na baadhi yetu hatuna.😅
 
Ni sahihi kabisa.
Jamii zetu hizi nyingi tunakosa communication skills.
 
Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.

Mie nikishaona mtu ni mbishi halafu ubishi wake hauna maana huwa siwezi kubishana naye.

Napenda ustaarabu, napenda watu wastaarabu.

Kama katika maisha ya kawaida pia yuko hivyo basi watu wanaomzunguka kazi wanayo.

Nilimsoma tangu day 1

Good morning wastaarabu wenzangu!!!
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😁
Asikupe shida, huyu jamaa yetu tunamjua, huwa anakorofishana na kila mtu hapa JF, iwe jukwaa la wakenya, international au siasa. Kote huko anaporomosha matusi, tena hapa amekuwa mstaarabu.
 
Duh!
Sijawahi kukutana naye before, nimemuona hapa.
 
Asikupe shida, huyu jamaa yetu tunamjua, huwa anakorofishana na kila mtu hapa JF, iwe jukwaa la wakenya, international au siasa. Kote huko anaporomosha matusi, tena hapa amekuwa mstaarabu.
Scientists/mathematicians hawapo hivyo, kwanza sio waongeaji sana. Atakaa kwenye mfumo wa kistaarabu hana namna.
 
Back
Top Bottom