Math challenge

Math challenge

Eeeh.!! Mahi umeamua kurudi shule na vitendea kazi 😹😹😹
Hapo bado bag na skirt yako ya v au linda box 🤣
😁😁😁😁
Acha tu mahi wangu. Ubishi ulikolea nikaamua kuingia mazima😁.

Hapo kwenye skirt, ilikuwa ni mwendo wa linda mpaka skirt ikutane na socks.
 
Back
Top Bottom