Mateso yangu

Mateso yangu

Ukute ndio washamvuruga kaghairi jamani, ibra87 njoo uendeleze bwana, unadhani usipochafuka utajifunzaje?

Ibra usighairi bwana, tumeipenda wenyewe, na wavimbe wapasuke....

Hahahaaaaaa wew ya house boy inakufaaa
Teh teh ulijuajeeee

oya ibra87 ukipata muda ishushe wengine ndo starehe zetu hz tukiwa idle, achana nao wajuaji hawakosekani hao popote duniani

Na hii weekend...

Ni MARUFUKU KUKATA TAMAA..
SISI TUMEIKUBALI ALETE STORY HAPA TUFURAHIII.....

Kukata tamaaa ni mwiko,

Ungeniita ningelipua watu ha ha haaa na ibra ungekuta ameshaweka part 2.
Hapana love, nlikuacha ulalee...
 
Last edited by a moderator:
Ibra 87 vipi,umevunjika moyo???Endelea aisee....mbona story nzur sana!Usikatishwe tamaa na watu wachache.Sio kila mtu atapenda unachofanya hata kama ni kitu kizur.Get It from me!
 
Hadithi yako ni nzuri tena sana,ila kuna marekebisho madogo madogo mf. Ulipomuona mtoto wa miaka 18 kavaa sare ya shule ucku kwny mvua amejikunyata kiuhalisia huwez kumuhic ni CHANGUDOA,
Pia pale aliposimama ndio ungeelezea uzuri wake maana ndio umemuodma ila ulianza kuelezea uzuri wake kabla ht hujamfikia,
Pia huwez tu kuangua kilio baada ya kumuona mtu analia bila ht kujua anacholilia yan machoz yake na ww ulie na ilhali humjui, kiuhalisia haipo hiyo, the rest iko poa, nasubir next chapter.

USHAURI WANGU:
Sio kila mtu atakipenda unachokifanya, maneno yao ya kejeli yasikufanye uhamaki, kwan itakupotezea confidence na hata fikra ya kutunga itayumba, ww mtu akikusifia shukuru, akikuponda shukuru, timiza lengo lako ulilokusudia.
 
Safi sana ndugu...ngoja niku rep power kabisa..
 
Ni MARUFUKU KUKATA TAMAA..
SISI TUMEIKUBALI ALETE STORY HAPA TUFURAHIII.....

sasa na sisi tumesema watuache na newcomer wetu atupe mautaaaaaamu....
Kwanza ibra87 ni maarufu sana kavuma sana kwa speed ndio maana wana wivu...
Nyota zao zimezimwa ha ha haaaaaaaaa

Watuache na bongo movie yetu bwana tunaburudika nayo hivyo hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Hadithi yako ni nzuri tena sana,ila kuna marekebisho madogo madogo mf. Ulipomuona mtoto wa miaka 18 kavaa sare ya shule ucku kwny mvua amejikunyata kiuhalisia huwez kumuhic ni CHANGUDOA,
Pia pale aliposimama ndio ungeelezea uzuri wake maana ndio umemuodma ila ulianza kuelezea uzuri wake kabla ht hujamfikia,
Pia huwez tu kuangua kilio baada ya kumuona mtu analia bila ht kujua anacholilia yan machoz yake na ww ulie na ilhali humjui, kiuhalisia haipo hiyo, the rest iko poa, nasubir next chapter.

USHAURI WANGU:
Sio kila mtu atakipenda unachokifanya, maneno yao ya kejeli yasikufanye uhamaki, kwan itakupotezea confidence na hata fikra ya kutunga itayumba, ww mtu akikusifia shukuru, akikuponda shukuru, timiza lengo lako ulilokusudia.

Haya ndio mambo sasa, safi sana everhurt
 
Last edited by a moderator:
Hizo zitakuwa stress za siasani si unaona hizo sijui gamba? Sasa shida za huko kazihamishia huku, hii mihemko balaa tupu.

Sio vizuri kwa kweli..sanyingine sio stress ila basi tu uwezo wa kufikiri unaishia hapo.
 
Watu wanajifanya wajuaji sn humu utadhani kuna cha maana wao walishawahi kuleta.

Huwa sielewi inakuwaje mtu anafungua thread anajiona kabisa hajaelewa lakini anaamua kuacha mashudu badala ya kupita kimya..sijui ndio kuongeza 'posts count' au ni nini.
 
Sio vizuri kwa kweli..sanyingine sio stress ila basi tu uwezo wa kufikiri unaishia hapo.

Huwa sielewi inakuwaje mtu anafungua thread anajiona kabisa hajaelewa lakini anaamua kuacha mashudu badala ya kupita kimya..sijui ndio kuongeza 'posts count' au ni nini.

Si anataka aonekane kacomnent kila post, vingine ukiona havikuhusu au huvielewi pita tu kasome vingine mbona vingi tu?
 
Mngekua na huruma na watoto wa mitaan wakiume iv basi dunia ingekua a better place to live,,,sema ndo ivo mnajifanya mna huruma sana when it comes to papuchii
 
Teh teh,watu wana comments zenye uchachu kwa kusoma tu,sijui ingekuwa tunasikia haya maandishi ingekuwaje.
 
Mngekua na huruma na watoto wa mitaan wakiume iv basi dunia ingekua a better place to live,,,sema ndo ivo mnajifanya mna huruma sana when it comes to papuchii

Watoto wa kiume hawapo hatarini sana ukilinganisha na watoto wa kike..
 
Back
Top Bottom