Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 522
Siku Zote Nyumbu Ni Nyumbu tu, Kama huu ni ujinga basi hata wew uliye comment ni shwain jazz band
baba mbona umekuwa mkali? Nini tatzo kwani.
Siku Zote Nyumbu Ni Nyumbu tu, Kama huu ni ujinga basi hata wew uliye comment ni shwain jazz band
Hahaha. Jamaa uwe hata unasifia siku moja moja basi. Machungu tu kila siku, ni nini eroo?
Halafu kuna Id moja inajiita Sonko nadhani, nayo full bitterness. Kwa fasi hiyo, huwa naifanisha na yako arif.
Usiwe na tabia ya kudis vitu anavyofanya mtu mwingine.
Sio busara,
Kama hujapenda unapita tuu, au unatoa constructive critics...
Bwana wax
Kweli kabisa... kuna watu wan a jiona hao ndio wenye uhalali na hili jukwaa...wakafie mbele
Miungu watu ??? Wakagundue forum yaoo...yenyew hovyo tuu cha wameshindwa kujisitir hata kwa fake id h a ha haaaa...wivu tuu mkuu
Minyokolist...!
Ilizani ibra kaweka bandiko la kutafuta mchumba ikaja res ikakuta ibra87 walaaaa yupo kwingine ikabwabwaja ikakosa mwelekeo..
Mmu kuna nyuzi ngapi? Hawajaziona hadi waje huku? Mijitu mizima ovyooo
baba mbona umekuwa mkali? Nini tatzo kwani.
Naona nawewe umekuja kuwapa makavu live....
Hahaha. Ni balaa.Yaani kidogo tulifikiria sawa ile id mie nilihisi ni mtu mmoja aisee, maana huwezi kuta wamechangia vitu positive tena na matusi juu.
Watu bwana!!! Si waende huko kunakowavutia sasa kwani uzi ni huu tu jf nzima?
Bado wana maisha ya matabaka...angekuwa emepost mwingine maarufu maarufu wangesaport....kosa ni kupost newcomer
Love kwa nn hukuniitaaa?
Watu wana boaa bhana
Nimeamka asubuhi subuhi kuangalia part two nifatilie huyu mwanafunzi mlimbwende kafanyaje tena....
Ibra unipe role nzuri..bwana sitak role ya kichungaji..
Nimeamka asubuhi subuhi kuangalia part two nifatilie huyu mwanafunzi mlimbwende kafanyaje tena....
Ibra unipe role nzuri..bwana sitak role ya kichungaji..
Ukute ndio washamvuruga kaghairi jamani, ibra87 njoo uendeleze bwana, unadhani usipochafuka utajifunzaje?
Teh teh nliogopa alafu ilikuwa usiku...
kweli umeona mbali sana mama, thats it, yaani tena ingesifiwa hadi basi yaani.