Mateso ya Vengu (Joseph Shamba), serikali imsaidie!

ana non communicating hydrocephalus due to meningitis. Dawa anapewa ila poor response. Ni immunocompetent. Acheni kusingizia madoc! Serikali yenu ya kishkaji yenye genge la walanguzi imeshindwa kuwawezesha madoc kufanya kazi kwa ufasaha zaidi. Muulize zito kama ile operation aliyofanyiwa watanzania hawawezi? Tatizo pesa yote inaishia kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya ujinga,na umaskini. Hawafikiri kuziwezesha hospital zetu.

What is the cause of Meningitis?
 
Tunawaomba hata ndugu zake wa comedy mana namini kawa watamua kumchangia hata aende INDIA akatibiwe hawawezi shindwa mana namin hata wahisani wanao hawawezi kosa michango.huo ni ushauli wng
 
Mchekeshaji marufu wa vichekesho nchini wa kundi la zecomedy ambaye anasumbuliwa na ugonjwa unaodaiwa kushambulia sehemu za kichwa.unaomtesa mpaka sasa baada ya kuka chumba cha ICU takribani miezi miwili afya yake imezolota sana tunaiomba serikali imuangalia nae aende nchini india akapate matibabu.je nani hajui mchango wake katika nchi hii
hata mm siujui mchango wake katika nchi hii!!ni mtu wa kawaida tu!ila kama binadamu anahitaji tiba apone arudi kuendelea na majukumu yake!
 
Mungu akusaidie upone haraka.

apone haraka vipi sasa ndugu ana zaidi ya karibia mwaka anasumbuka na maradhi? nadhani ipo haja ya sisi wana JF pia kuonyesha mshikamano tumchangie, ili zikipatikana iwe changamoto kwa serikali kumsaidia....
 
Umenifurahisha kweli "Eti hela zote wamepeleka kwenye shehere za miaka 50 ya ujinga na umaskini".

kweli kabisa tunasherehekea miaka 50ya umasikini na ujinga.vengu ccm na manji ndio wawajibike kwake.wamemtumia kama kondomu na wamemaliza haja zao wamemwacha afe pekeyake hyo ndiyo ççm bwana.
 
Tunawaomba hata ndugu zake wa comedy mana namini kawa watamua kumchangia hata aende INDIA akatibiwe hawawezi shindwa mana namin hata wahisani wanao hawawezi kosa michango.huo ni ushauli wng

kaka watu huwa wanakujali ukiwa mzima na katika kundi lao wale wote ni vilaza na wachumia tumbo na wanafiki wakubwa wale hawana lolote pumbavu zao.
 
CCM bana wamemtumiia sasa hivi wanamwona taka taka
 
Kamati ya kampeni ya ccm hamumuhitaji tena?au mmesahau kam kuna uchaguzi mwingine utakuja?kwanini msimpeleke India?au kwa kuwa mlishafaidika nae basi kimpamgo wake sio?
Get well soon Vengu
 
kwani ccm hawana utaratibu wa kuwasaidia wanachama wao wanapoumwa?au msaada wa mwisho ni pilau na kofia?
 
mkuu wa kaya alienda kumwona na alipiga nae picha kwani hakuona umuhimu wa kumwokoa kijana?
 
Masanja ni mchungaji mtarajiwa, anajifagiliiia ulokole lakini mtihani wa Vengu umemshinda!
 
asaidiwe apelekwe hospitli za nje apewe matibabu mazuri,kumwach ani kucheza na uhai wake
 
kuna mamia ya watz wagonjwa na wanapoteza uhai kila leo na misaada hawapati
get well soon vengu
 
What is the cause of Meningitis?
Meningitis
Meningitis ni uvimbe wa bongo. Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, au bakteria au hata pia kutumia dawa fulani. Meningitis ni maradhi yanayoweza kuuwa kwa ajili ya kuwa uvimbe huu hufanyika karibu na bongo; kwa hivyo ugonjwa huu ni dharura umwone daktari.Dalili kuu za ugonjwa huu ni kuumwa na kichwa na shingo, pamoja na homa na kuchanganyikiwa kwa akili, kutapika na kutoweza kustahamili mwangaza na kelele.
Dalili

  • Kichwa kuuma sana
  • Kutokuwa na akili timamu, hii hutokea kwa takriban asilimia 44 ya wagonjwa.
  • Kutoweza kustahamili mwangaza na kelele.
  • Uvimbe juu ya kichwa hufanyika kwa watoto wa umri wa chini ya miezi sita.
  • Dalili zingine zinazopatikana kwa watoto ni kuumwa kwa miguu, kuhisi baridi kali na ngozi kugeuka rangi.
Sababu
Kwa watoto wenye umri wa chini ya miezi mitatu, ugonjwa huu husababishwa na group B streptococcus. Wengine ambao hukaa kwenye matumbo ya binadamu ni kama Escherichia coli

Virusi
Virusi vinavyosababisha Meningitis ni kama enterovirus, herpes simplex virus type 2, varicella zoster virus, herpes zoster, mumps, HIV, na Lymphocytic choriomeningitis.
Meningitis pia huweza kusababishwa na kuenea kwa saratani hadi kwenye ubongo.

Kukinga
Meningitis hukingwa kwa kutumia chanjo. Katika nchi nyingi, watoto wengi hupewa chanjo ya kuzuia Haemophilus influenzae ambayo huondoa bakteria hawa kwa miili ya watoto. Hata hivyo, chanjo hii ni ghali.
Chanjo ya Bacillus Calmette-Guérin imeonyesha kupunguza kiwango cha ugonjwa huu kuenea.
Dawa zinazotumika kuzuia ni kama rifampicin, ciprofloxacin au ceftriaxone.
 
dah... Umetufungua macho mkuu.
Basi Vengu yuko ktk hali mbaya sana.
 
Nawashauri wenzake japo wafanye matamasha kadhaa kwa ajili ya kumchangia Vengu. Ninaamini kuwa Watanzania ni wakarimu sana. Si kila kitu tusubirie serikali.
 
ana non communicating hydrocephalus due to meningitis. Dawa anapewa ila poor response. Ni immunocompetent. Acheni kusingizia madoc! Serikali yenu ya kishkaji yenye genge la walanguzi imeshindwa kuwawezesha madoc kufanya kazi kwa ufasaha zaidi. Muulize zito kama ile operation aliyofanyiwa watanzania hawawezi? Tatizo pesa yote inaishia kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya ujinga,na umaskini. Hawafikiri kuziwezesha hospital zetu.
Sasa suluhisho ni nini?
 
Back
Top Bottom