Mateso ya Vengu (Joseph Shamba), serikali imsaidie!

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Mchekeshaji marufu wa vichekesho nchini wa kundi la zecomedy ambaye anasumbuliwa na ugonjwa unaodaiwa kushambulia sehemu za kichwa.unaomtesa mpaka sasa baada ya kuka chumba cha ICU takribani miezi miwili afya yake imezolota sana tunaiomba serikali imuangalia nae aende nchini india akapate matibabu.je nani hajui mchango wake katika nchi hii
 
Aseee!!!
unajua mimi huwa inaniuma sana asee!!
mtu naweza kufa hivihivi tu bila proper diagnosis na treatment.
Anaweza akawa yupo ICU lakini madaktari hawajafanya proper diagnosis, yeye kuwepo ICU haimaanishi anapatiwa treatment sahihi.
 
Kumbe watu waongo, walisema oo amekuwa mlevi hadi kuliwa kiboga ndo mana haonekani runingani, kumbe mgonjwa.
 
Aiseee Mungu amponye maana nilikuwa nasoma nikiwa guest tu anaumwa lakini nilikuwa sijui anaumwa nini?
 
maskini joseph. wale watu wa maombi mkajumuike nae kwa kuomba na kufunga bwana amtendee muujiza.
jk alimtembelea kulikoni kamsahau india wajamini.
 
Aseee!!!
unajua mimi huwa inaniuma sana asee!!
mtu naweza kufa hivihivi tu bila proper diagnosis na treatment.
Anaweza akawa yupo ICU lakini madaktari hawajafanya proper diagnosis, yeye kuwepo ICU haimaanishi anapatiwa treatment sahihi.

ana non communicating hydrocephalus due to meningitis. Dawa anapewa ila poor response. Ni immunocompetent. Acheni kusingizia madoc! Serikali yenu ya kishkaji yenye genge la walanguzi imeshindwa kuwawezesha madoc kufanya kazi kwa ufasaha zaidi. Muulize zito kama ile operation aliyofanyiwa watanzania hawawezi? Tatizo pesa yote inaishia kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya ujinga,na umaskini. Hawafikiri kuziwezesha hospital zetu.
 
Ulikuwa unasoma ukiwa guest hse?Totos alikuwa anafanya mini.lugha gongana
 
Umenifurahisha kweli "Eti hela zote wamepeleka kwenye shehere za miaka 50 ya ujinga na umaskini".
 
Huyu vengu ni kwa vile tu mnamjua ndio maana mnaona Kama katupwa. But ukweli ni Kua maisha na hali aliyonayo huyu jamaa ni ya kawaida mno compare na wagonjwa wengi waliotelekezwa kwenye mahospitali mbalimbali.
Cha msingi tujue tu kuwa hatuna serikali inayojali raia wake
 
Back
Top Bottom