Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 551
100% ni hasara tu na kupotezeana mda certificate elf20 ulichagua vyuo vi3 leo hii NIT elf30 CBE 25 IfM 20 kuna na vyengine cjui bei gan huko na degree elf50 uliomb vi5 kwa round 5 saiv ni per university tunarud nyuma baada ya kwenda mbele cjui nani ameiroga Africa ttzo kubwa ni kwamba kila anaekaa anakuja na lake hakuna muendelezo wa maendeleo mwenangu amejenga barabara mm najenga kituo cha afya ni vurugu mechi tu amejenga barabara mwengine anakuja anavunja anaanza upya mpaka lini tutaishia kunawa tuSo utakua unakubaliana na mimi kwamba mfumo wa sasa utawaumiza sana madogo