saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
Aaah haya madai ukiyafkiria tu huwezi amini wanavyotekeleza. Kivip mfumo wa CAS uchague wat kwa vigezo vya dini,kabila n.kWapo wamiliki wa vyuo binafsi wanalalamika eti CAS ilikuwa inawazuia kudahiri wanafunzi wengi wa aina fulani (dini, kabila, kanda, kipato) na kuwaleta wanafunzi wengi wa aina fulani (dini, kabila, kanda, kipato, kiwango cha elimu) bila hiari yao. Wakajikuta wanatoa elimu kwa watu wengi wasiokusudiwa na sera zao na kuwakosesha nafasi walengwa.
Mi sioni msingi wa haya madai