Mateso ya udahili wa wanafunzi vyuoni yameanza kuonekana

So utakua unakubaliana na mimi kwamba mfumo wa sasa utawaumiza sana madogo
100% ni hasara tu na kupotezeana mda certificate elf20 ulichagua vyuo vi3 leo hii NIT elf30 CBE 25 IfM 20 kuna na vyengine cjui bei gan huko na degree elf50 uliomb vi5 kwa round 5 saiv ni per university tunarud nyuma baada ya kwenda mbele cjui nani ameiroga Africa ttzo kubwa ni kwamba kila anaekaa anakuja na lake hakuna muendelezo wa maendeleo mwenangu amejenga barabara mm najenga kituo cha afya ni vurugu mechi tu amejenga barabara mwengine anakuja anavunja anaanza upya mpaka lini tutaishia kunawa tu
 
Njia iliyotumika kutatua tatizo haikua ya sawa.
Kuna haja ya kurudisha mfumo wa CAS na kutafuta njia nyingine ya kusolve tatizo.
 
Vyuo vitano na round tano namba imehamia kwenye udahili sasa me nilijua mapema hii ni njia mpya ya kukusanya hela tu :D :D :D :D TCU walikua na mapungufu yao ila walikua na msaada mkubwa kwa kweli na hata kama waliplka watu vyuo hawavitaki mbona walikuwa wanatoa nafasi ya kuhamia unapopataka
Sure dadangu kipind cha kuhama kilikuwepo...hapa serikali imekulupuka tu
 
Njia iliyotumika kutatua tatizo haikua ya sawa.
Kuna haja ya kurudisha mfumo wa CAS na kutafuta njia nyingine ya kusolve tatizo.

Kwa upande wangu mimi sijaona tatizo la CAS lilikua nini wakati kabla ya kuselect chuo unachotka kuna statement inakuambia unachochagua kiwe right choice kwa maana ata ukapelekwa chaguo la mwisho emechagua utakuwa uchizi unachagua medicine huna vigezo na huipendi unaieka tu au vigezo unavyo ila huipendi unaieka bahat nasibu umepewa hiyo unamlaumu nani wakat umechagua muhimu umepata chuo na course hamia unayoitaka nafac zipo wazi kuna watu wanafkir kama huu mfumo watu

hawatoachwa watatemwa sana tu kutokana na kujaa kwa wanafunz na huezi kujua wanataka watu wangapi na wameomba wangapi nisiri yao tu utaomba watachukua kiasi chao wengine watakaa pembeni udahili umefungwa unasubir mwakan
 
Kwa upande wangu mimi sijaona tatizo la CAS lilikua nini wakati kabla ya kuselect chuo unachotka kuna statement inakuambia unachochagua kiwe right choice kwa maana ata ukapelekwa chaguo la mwisho emechagua utakuwa uchizi unachagua medicine huna vigezo na huipendi unaieka tu au vigezo unavyo ila huipendi unaieka bahat nasibu umepewa hiyo unamlaumu nani wakat umechagua muhimu umepata chuo na course hamia unayoitaka nafac zipo wazi kuna watu wanafkir kama huu mfumo watu hawatoachwa watatemwa sana tu kutokana na kujaa kwa wanafunz na huezi kujua wanataka watu wangapi na wameomba wangapi nisiri yao tu utaomba watachukua kiasi chao wengine watakaa pembeni udahili umefungwa unasubir mwakan
Matatizo ya Cas yalikua ni ya kiufundi na inatokea mara chache sio mda wote. Kama ntakua nakumbuka vzr tatizo alilolitaja Mh.Jpm ni kwamba Tcu inawapangia wanafunzi vyuo visivyo na vigezo kana kwamba wamiliki wa vyuo hususan wanahonga tcu ili wapelekewe wanafunzi wajiendeleze mana wao mtaji wao wanafunzi so akawa analaumu kitu kama hicho. Ila hatujui yaliyo nyuma ya pazia, tuseme kweli kwamba kuna vit kama hivyo vilikuwepo ila kwa upande mwingine wengi tu walikua wanachaguliwa katika vile walivyochagua kwa maana pakiwa na aliyepelekwa chuo ambacho hakukichagunia ni wawil watatu kwa upaande wang ni system iliyokua ikisave gharama kubwa zisizo na msingi ambazo hii leo zinakuja tena. Just imagine mwanafunz anaish Kigoma anataka kuapply udsm labda pawepo na mifumo ya kuapply online lakini hilo litasave nauli peke yake je gharama za application nazo vip? So utakuta gharama za ajab ajab nyiiiing
 
Kwa upande wa mattzo ni nunga mkono hoja ila pia haikua kikwazo mana walitoa nafac za kuhama bure kabisa Mungu ndo anajua yanayoendelea
 
Mkuu hizo gharama ulizozitaja ni kwa ajili ya maombi ya shahada ya kwanza au ni za stashahada na astashahada ?
stashahada ndo confusion kabisa, NACTE wanataka wapewe 20,000 za application na chuo wanataka za kwao, hizo zote zitamuangukia mlaji ambae ni mwanafunzi
 
Wangapi wanaishi mikoa yenye vyuo ili iwe kama unavyosema?
Wakat wengi wakitazamia kujiunga udsm wahitimu wangap wanaoishi Dar?
Umejitahidi kuandika ila kwa upande wangu naona hamna mantik au labda unieleweshe vzr kwa kunijib maswal yangu hayo
Kuna wagogo wangapi wanaoweza kuijaza UDOM?
 
Matatizo ya Cas yalikua ni ya kiufundi na inatokea mara chache sio mda wote. Kama ntakua nakumbuka vzr tatizo alilolitaja Mh.Jpm ni kwamba Tcu inawapangia wanafunzi vyuo visivyo na vigezo kana kwamba wamiliki wa vyuo hususan wanahonga tcu ili wapelekewe wanafunzi wajiendeleze mana wao mtaji wao wanafunzi so akawa analaumu kitu kama hicho. Ila hatujui yaliyo nyuma ya pazia, tuseme kweli kwamba kuna vit kama hivyo vilikuwepo ila kwa upande mwingine wengi tu walikua wanachaguliwa katika vile walivyochagua kwa maana pakiwa na aliyepelekwa chuo ambacho hakukichagunia ni wawil watatu kwa upaande wang ni system iliyokua ikisave gharama kubwa zisizo na msingi ambazo hii leo zinakuja tena. Just imagine mwanafunz anaish Kigoma anataka kuapply udsm labda pawepo na mifumo ya kuapply online lakini hilo litasave nauli peke yake je gharama za application nazo vip? So utakuta gharama za ajab ajab nyiiiing
kuna taasisi binafsi zina mavyuo mengi na mitaji mikubwa CAS ilikuwa inawabana kuchakachua ili kujaza vyuo vyao, sasa wamepata fursa ya kufanya hivyo subiri uone. Hawa ni watu ambao serikali imewasamehe kodi kwenye mambo mengi sana, hivyo watasomesha wanafunzi weeengi kwa gharama nafuu zisizokuwa na kodi ndani yake
 
K
Kuapply chuoni direct bado Ni rahisi , assume umeapply vyuo vitatu vyenye application sh 35,000 per chuo *3 equal to 115,000 - tcu gharama 50,000equal to 65,000 incremental cost , mtu aliyeapply direct amechaguliwa vyuo vya mkoa anaoishi, eg DSm, so there no need of bus fares, mtu wa tcu amepelekwa songea , nauli ya songea 32500 *2 equal to 65,000, so tcu root and direct appl all have 115000, incremental Ni zero kwa likizo moja Tu. Nategemea utasafiri songea zaidi ya mara tano mpaka unamaliza chuo , kwa hiyo 32500 *2*4equal to 260,000 loss (cost to tcu appl channel or saving to direct to school appl channel , kwa hiyo sio kweli kwamba ukiapply via tcu ni rahisi kuliko direct ,hapo sijaweka hidden cost mfano kuchoka ,etc
Imagine umekosa vyote ulivoapply
 
kuna taasisi binafsi zina mavyuo mengi na mitaji mikubwa CAS ilikuwa inawabana kuchakachua ili kujaza vyuo vyao, sasa wamepata fursa ya kufanya hivyo subiri uone. Hawa ni watu ambao serikali imewasamehe kodi kwenye mambo mengi sana, hivyo watasomesha wanafunzi weeengi kwa gharama nafuu zisizokuwa na kodi ndani yake
Hilo nalo tatizo lingine
 
Wengine humu wametumwa hili waitete TCU. Unajua kulikuwa Na mirija ya kupiga pesa za govt, kwa hiyo usishangae mkuu
Ndugu yangu ondoa hii imani iliyojaa kwenye mawazo ya watanzania wengi "ukiona mtu ana mtazamo tofauti na wewe mnasema ametumwa" kadri miaka inavyoenda akili na uelewa wa watu hasa vijana unapungua.
 
Kwakweli hata mimi nashangaa huu,mfumo wanaotaka utumike asaiv.inawezekana ni njia mojawapo ya ukusanyaki kodi kam ndo ivo...
 
Japokuwa TCU walikuwa na mapungufu yao lakini walijitahidi kadiri walivyoweza kudahili wanafunzi wenye sifa hata kwa wengine kupangiwa vyuo ambavyo hawakuviomba kabisa. Pia waliweza kudhibiti kwa kiasi chake mianya ya rushwa na upendeleo wa kikabila na udini katika udahili.

Kuruhusu udahili vyuoni moja kwa moja ni kutaka kufungua mianya ya rushwa na upendeleo wa kikabila na udini katika udahili na kufahamiana. Kuna watu wasiokuwa na sifa lakini wana uwezo kiuchumi watahonga ili wapate nafasi na kozi wanazozitaka pia upendeleo wa kikabila na kidini.

Na ili mwanafunzi ajihakikishie nafasi itambidi achukue fomu zaidi ya chuo kimoja hivyo kuongeza gharama za application. Wakati wa TCU hela unayoilipia unajaza vyuo vitano.

Je huyu mtoto wa maskini atakuwa na uwezo wa kukusanya fomu zaidi ya moja au je ataweza kuhonga ili apate nafasi?

Ni mtazamo wangu tu. Nadhani wale waliopata vyuo enzi za matriculation wanayajua haya.
 
Nadhani tusubiri hiyo tarehe 27/7 ILA nadhani serikali iangalie pia upande wa NACTE ambao nao wamejivua kazi ya kudahili wanafunzi wa NTA 4-6 LAKINI wakihitaji vyuo husika viwalipe Verification fee ya 20000 kwa kila mwanafunzi mpya ambayo haikuwapo hapo awali.Nawasilisha
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom