kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,727
- 14,158
Mfumo wa udahili wa pamoja kwa njia ya mtandao ulitengenezwa kutokana na tafiti zilizofanyika kuhusu manufaa yake katika kuwapunguzia wanafunzi na wazazi gharama za kutafuta, kuomba, na kujiunga na vyuo hapa nchini. Kuutengeza mtandao huu ulitumia gharama kubwa hadi uweze kutumika.
Baada ya kuachana na mfumo huu hivi sasa wanafunzi wameanza kuonja joto ya jiwe. Application form sasa ni sh. 50000. Ukitaka kuwa na uhakika wa kupata nafasi chuoni huna budi ufanye applications kwenye vyuo 3 au zaidi