johnmweusi
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 200
- 257
Kwa malalamiko ya wengi inaonesha CAS ilikuwa inafanya mistake kwenye baadhi ya selection kwa kupeleka watu sehemu wasiyo taka. Ila mara nyingi ilikuwa inatokea mtu ana division 1.9 anaomba kozi kadhaa mfano chuo cha UDSM ila unakuta hizo kozi zote kuna watu wameomba na wana points zuri kuliko hiyo sasa TCU wanakupa nafasi ya kurudia kuomba tena ila baada ya hapo unakuwa stricted kuapply vyuo vyenye nafas tu. Sasa kwa kuutoa huu mfumo hawaja solve hilo tatizo. Sababu mtu ataomba tena chuo flani kwa hiyi utaratibu utakuwa ni vile vile ila saiz ni kwa gharama kubwa zaid sababu mtu atalazimika kuomba zid ya chuo kimoja kwa malipo tofauti. Ni rahis kuboresha system kuliko kuanza upya.