Future Boss
Member
- Jul 5, 2018
- 34
- 48
Habari ndugu wana JF.
Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024.
Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine.
Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa katika mashirika ya umma kama TARURA, TANROADS, MDA, LGA nk wanisaidie nipate materials ya kusoma iwe ni possible question, hata past papers kama wanazo.
N:B
**Naombeni msaada wenu, nitashukuru sana hata kama nitapewa msaada huo kupitia DM.
Asanteni na samahani kwa kutumia kwa muda wenu kusoma maelezo mengi.

- Ndio huwa ninasoma job descriptions za kazi zinazotangazwa na kujitahidi kuzielewa vema.
- Hapana sina interview yeyote niloyoitwa ila nahitaj kuanza maandalizi kwani nimeomba kwa mara ya kwanza hizi zilizotangazwa TARURA (civil engineers 50posts)ref. attachment.