GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,990
- Thread starter
- #21
G.T....thamani yake inapotea kabisa
Kumbe Na Wewe Ni GREAT THINKER Mkuu? Nilikuwa Sijui!
G.T....thamani yake inapotea kabisa
Mie wala siujui uo ugreat thinker unafananaaje....nimeona sehemu km na ww ni mmoja wao hongera..Kumbe Na Wewe Ni GREAT THINKER Mkuu? Nilikuwa Sijui!
Nilikuwa naangalia nikijua ni mamamkwe wa kibongo, kumbe mzungu? kwa taarifa yako kwa wazungu anaweza kuwa anafanya yote haya lakini hana muda wa kufanya mapenzi na wewe, sasa wewe siku moja jiloge umtongoze ndio atamwambie mkeo na ndoa itaishia hapohapo.
Mwenzetu ana nafsi nyingi...Uzi mwingine unasema upo IOWA USA,uzi huu upo Paris FRANCE..@gentamycine unajielewa mwenyewe.
Wajuvi Wa Mambo Tafadhalini Naomba Msaada Nisije Nikajikuta Nazidi Kumshawishi Mwenyezi Mungu Azidi Kuniorodhoshea DHAMBI Zangu ZILIZOTUKUKA Ktk Kitabu Chake Cha BLACK BOOK Cha Kule Mbinguni! Na Ninachoshangaa Binti Yake Ambaye Ni Mke Wangu Wala HASHTUKI Na Naomba Hapa Pia Niwe Muwazi Huyu Mama Mkwe Wangu Anafanana Sana Kimuonekano Wote Na Michelle Obama Na Jennifer Lopez Japo Sasa Ana Miaka Yake 53.
- Anapenda Kufanya Majukumu Ambayo Kimsingi Anatakiwa Kufanya Binti Yake.
- Anapenda Sana Kuwa Karibu Na Mimi Pale Binti Yake Akiwa Hayupo.
- Tukiwa Pamoja Anapenda Niweke Mikanda Ya Picha Za " X " au Za Kimahaba Zaidi.
- Tunapokuwa Tunakula Chakula Hata Binti Yake Akiwepo Anapenda Mno Kunikonyeza.
- Hung'ang'ania Kufua Nguo Zangu.
- Hupenda Kunipigia Simu Mara Kwa Mara Kuliko Hata Anavyompigia Binti Yake.
- Muda Mwingine Hata Nikianika MKUFULI Wangu Nje Kambani Yeye Hupenda Kunianulia.
- Kila Nikiwa Natizama Tv Usiku Hasa HABARI Hujipitisha Mbele Yangu Na Khanga Kwenda Kuoga.
- Hupenda Mno Kuniwekea Maziwa Ya Mtindi, Karanga Mbichi Na Maparachichi.
- Hupenda Mno Kuingia Chumbani Kwetu Bila Hata Kupiga Hodi Huku Akiwa Anatabasamu.
- Leo Kaniomba Nitoke Nae Kwenda MARSEILLE Na Turudi Hapa PARIS Usiku.
Nitawashukuruni Kwa Majibu Yenu!
Tatizo stori zako hazina muendelezo mazuri ULIOTUKUKA
wewe kila siku vi episode vipya visivyo na mpangilio mzuri
mwenzako General Galadudu ana visiries vya kijinga ila haviachani na previous episode
stress hizo umri unakwenda maisha yanampigaNa jamaa ni matusi mdomoni.
Teh teh teh...kwahiyo nahuko kwenu paris mnanyumba kama zakwetu huku igogo,kwenda bafuni mpaka ukatishe sebuleni!!
Heri ya mwaka!Tuwekee picha kwanza tumuone tutathimini tukupe ushauri mzuri