Matendo haya ya mama mkwe wangu yananichanganya

Matendo haya ya mama mkwe wangu yananichanganya

Kumbe watusi ni manyumbu kiasi hichi

Mwanamke wa kibelgiji tangu lini akavaa khaga?

Eti nikianika mkufuli wangu kambani,Ufaransa pia wanaanika nguo kwenye kamba?

Kumbe Michelle Obama na Jennifer lopez wanafanana?

Ataingiaje chumbani kwenu bila kupiga hodi?kwani hicho chumba hakina mlango?

Kwani bafu lipo nje mpaka apitie sebuleni?

Halafu Siyo Watusi Bali Ni WATUTSI Sawa? Fatuous!
Kwahiyo Khanga Zinavaliwa Huko Kwenu Uafrikani Na Huku Brussels Hazipo?
Ludicrous!
Nani Kakuambia Kuwa Ulaya Hakuna Kamba Za Kuanikia Nguo? Ulitaka Tuanike Ktk Nyasi Zinyewe Na Kunguru Kama Huko Uafrikani?
Asinine!
Sikusema Michelle Obama Na Jennifer Lopez Wanafanana Bali Nilisema Mama Mkwe Ni Mzuri Kama Wao.
Daft!
Wewe Ulipokuwa Unaingia Chumbani Kwa Wazazi Wako Huku Mavi Yanakutiririka Ukitaka Wakutawaze Ulikuwa Unabisha Hodi? Mlango Haukuwepo?
Futile!
Mfumo Wa Nyumba Za Hapa Brussels Unadhani Ni Za Kama Huko Uafrikani Kwenu? Hivi Umeshawahi Kenge Wewe Hata Tu Kufika Nairobi Achilia Mbali Cape Town Utoe UPOPOMA Wako? Kwa Hiyo Unadhani Umasikini Wako Wa Kuogea Bafu La Nje Basi Wote Wanao?
Inane.
 
Ndiyo Maana Nilipenda Mno Nioe Mtanzania au Mnyarwanda Mwenzangu Ila Tatizo Nimeoa MWANAMKE Wa KIBELGIJI Ila Ni Ngozi Yetu Hii Hii Sasa Sijui Haya Ndiyo Malezi Yao au La. Mkuu Yaani Nipo Ktk MAJARIBU YA KUTUKUKA Sana Tu.
Wewe kweli sio striker!
Mpeleke "Matongee" chukua chumba pale kwa Congolese mpige ndizi!

Anahitaji ndizi huyo!
 
We ndo unachelewa na utafanya mambo yawe makubwa uyo alitakiwa umtulize mapemaaaa kabla mizmu take haijaghair
 
Kumbe watusi ni manyumbu kiasi hichi

Mwanamke wa kibelgiji tangu lini akavaa khaga?

Eti nikianika mkufuli wangu kambani,Ufaransa pia wanaanika nguo kwenye kamba?

Kumbe Michelle Obama na Jennifer lopez wanafanana?

Ataingiaje chumbani kwenu bila kupiga hodi?kwani hicho chumba hakina mlango?

Kwani bafu lipo nje mpaka apitie sebuleni?

Mkuu..
Huyu mkimbizi masifa yamemzidi ndomana anatunga vistory visivyo na mantiki..
Mpuuze tuu, sababu ushajua ni Mpuuziii..
 
Mkuu..
Huyu mkimbizi masifa yamemzidi ndomana anatunga vistory visivyo na mantiki..
Mpuuze tuu, sababu ushajua ni Mpuuziii..

Huwa Nikitoa PIGO Moja TAKATIFU Mtu Huwa Harudi Tena Kwangu Na Nadhani Sasa Anasikilizia MAUMIVU. Hakika Kwa DOZI Niliyompa Hapo Juu Huyo POPOMA Mwenzio Sasa Atakuwa Na ADABU Na Mimi ILA Kama Unataka Huu Mziki Uhamie Kwako Sema Tu Mkuu Kwani MAKOMBORA Yangu Huwa Yapo Tayari Tayari Kwa WANAFIKI Kama Nyie. Kwasababu Umeshazoea Kutungiwa MIMBA Basi Unadhani Kila Mtu Anatunga Tu! Nadhani Kama Ni UPUUZI Atakuwa Nao Aliyekuleta Duniani Ukiwa NJITI Na UTINDIO Huo ULIOTUKUKA.
 
sasa hapo unaomba ushaur au unataka confirmation tu... unajua kbs huyo mama mkwe anataka "zigo".. mi nakushauri umuonye b4 kumwambia mkeo
 
Back
Top Bottom