Matendo haya ya mama mkwe wangu yananichanganya

Matendo haya ya mama mkwe wangu yananichanganya

Ndiyo Maana Nilipenda Mno Nioe Mtanzania au Mnyarwanda Mwenzangu Ila Tatizo Nimeoa MWANAMKE Wa KIBELGIJI Ila Ni Ngozi Yetu Hii Hii Sasa Sijui Haya Ndiyo Malezi Yao au La. Mkuu Yaani Nipo Ktk MAJARIBU YA KUTUKUKA Sana Tu.
Watu mna bahati zenu!!
 
cant help u, u ar not serious, yaani mkweo afanane na michelle obama na jenifer lopez, ukiwa serious tarudi kukushauri
 
Mnaishi nyumba ya aina gani mpaka mtu anayeenda kuoga apite sebuleni kwa nyumba za majuu kama sio kuhadaa watu hapa. Ramani za nyumba za wenzetu mbona sio kama polis post kuwa choo kiko nje?
 
kwahiyo nahuko kwenu paris mnanyumba kama zakwetu huku igogo,kwenda bafuni mpaka ukatishe sebuleni!!

Buah ha ha ha ha ha ha haaaaaaa aisee na wewe una maswali makali sana kama ya wale waandishi wa habari wa CNN.....ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa............
 
huyo ana tabia zenu za kitutsi, ndio tabia zenu nyie kulana tu, eti damu isiende mbali
 
Ndiyo Maana Nilipenda Mno Nioe Mtanzania au Mnyarwanda Mwenzangu Ila Tatizo Nimeoa MWANAMKE Wa KIBELGIJI Ila Ni Ngozi Yetu Hii Hii Sasa Sijui Haya Ndiyo Malezi Yao au La. Mkuu Yaani Nipo Ktk MAJARIBU YA KUTUKUKA Sana Tu.

Hadithi hadithi..... Mwanamke wa Kizungu halafu anafanana na Michelle Obama. Wewe piga tu puri kwa hizo ''fantasy'' zako. usichoshe watu kwa kuomba ushauri hewa
 
Ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana hivi unafikri kama mtu ana ajira yake mida kama hii atakaa kuwaza kuandika ujinga kama huu.
Anapenda kufanya majukumu ambayo kimsingi anatakiwa kufanya binti yake.

  • Anapenda sana kuwa karibu na mimi pale binti yake akiwa hayupo.

  • Tukiwa pamoja anapenda niweke mikanda ya picha za " x " au za kimahaba zaidi.

  • Tunapokuwa tunakula chakula hata binti yake akiwepo anapenda mno kunikonyeza.

  • Hung'ang'ania kufua nguo zangu.

  • Hupenda kunipigia simu mara kwa mara kuliko hata anavyompigia binti yake.

  • Muda mwingine hata nikianika mkufuli wangu nje kambani yeye hupenda kunianulia.

  • Kila nikiwa natizama TV usiku hasa habari hujipitisha mbele yangu na khanga kwenda kuoga.

  • Hupenda mno kuniwekea maziwa ya mtindi, karanga mbichi na maparachichi.

  • Hupenda mno kuingia chumbani kwetu bila hata kupiga hodi huku akiwa anatabasamu.

  • Leo kaniomba nitoke nae kwenda Marseille na turudi hapa Paris usiku.
Wajuvi wa mambo tafadhalini naomba msaada nisije nikajikuta nazidi kumshawishi mwenyezi mungu azidi kuniorodhoshea dhambi zangu zilizotukuka katika kitabu chake cha black book cha kule mbinguni! Na ninachoshangaa binti yake ambaye ni mke wangu wala hashtuki na naomba hapa pia niwe muwazi huyu mama mkwe wangu anafanana sana kimuonekano wote na Michelle Obamana Jennifer Lopez japo sasa ana miaka yake 53.

Nitawashukuruni kwa majibu yenu!

Tumekuelewa brother, kwamba unaishi Ufaransa na uomeoa Mbelgiji anayefanana na Michelle Obama na Jennifer Lopez. Hivi Michelle Obama na Jeniffer Lopez maumbo yao na mwonekano wao unafanana eeeh ? Nilikuwa sijui!
 
Kila kibaya ni cheusi jamani????Kataa inferiority ideology.kwanini kitabu hicho tusikiite white book.
 
Ndiyo Maana Nilipenda Mno Nioe Mtanzania au Mnyarwanda Mwenzangu Ila Tatizo Nimeoa MWANAMKE Wa KIBELGIJI Ila Ni Ngozi Yetu Hii Hii Sasa Sijui Haya Ndiyo Malezi Yao au La. Mkuu Yaani Nipo Ktk MAJARIBU YA KUTUKUKA Sana Tu.
nilidhani ni mwafrika,kama ni mzungu kwao hiyo ni kawaida usidhani ka maind,,,,,,!
 
Back
Top Bottom