Matendo haya ya mama mkwe wangu yananichanganya

Anapenda kufanya majukumu ambayo kimsingi anatakiwa kufanya binti yake.

  • Anapenda sana kuwa karibu na mimi pale binti yake akiwa hayupo.

  • Tukiwa pamoja anapenda niweke mikanda ya picha za " x " au za kimahaba zaidi.

  • Tunapokuwa tunakula chakula hata binti yake akiwepo anapenda mno kunikonyeza.

  • Hung'ang'ania kufua nguo zangu.

  • Hupenda kunipigia simu mara kwa mara kuliko hata anavyompigia binti yake.

  • Muda mwingine hata nikianika mkufuli wangu nje kambani yeye hupenda kunianulia.

  • Kila nikiwa natizama TV usiku hasa habari hujipitisha mbele yangu na khanga kwenda kuoga.

  • Hupenda mno kuniwekea maziwa ya mtindi, karanga mbichi na maparachichi.

  • Hupenda mno kuingia chumbani kwetu bila hata kupiga hodi huku akiwa anatabasamu.

  • Leo kaniomba nitoke nae kwenda Marseille na turudi hapa Paris usiku.
Wajuvi wa mambo tafadhalini naomba msaada nisije nikajikuta nazidi kumshawishi mwenyezi mungu azidi kuniorodhoshea dhambi zangu zilizotukuka katika kitabu chake cha black book cha kule mbinguni! Na ninachoshangaa binti yake ambaye ni mke wangu wala hashtuki na naomba hapa pia niwe muwazi huyu mama mkwe wangu anafanana sana kimuonekano wote na Michelle Obamana Jennifer Lopez japo sasa ana miaka yake 53.

Nitawashukuruni kwa majibu yenu!
huwa mnaangalia nae xx....? anataka mtoke mkafanye hiyo x live
 
aaaaaah broooh mind ur language.....alie post anaweza kuwa na ajira nzuri kuliko wew
Una uhakika saa 09:36 am mtu mwenye ajira anaweza kuandika uharo kama huo wote tunafanya kazi huo ni muda wa kazi sio wa kuandika ujinga.
 
Akiwa likizo ndo aandike uharo wa kijinga hivyo hivi mtu mzima anaweza kuwa na mada za kipuuzi namna hiyo.

Naweza Nikawa Kweli Mtu Mzima Kwani Yawezekana Labda Nimeshalala Na Aliyekuzaa Na Vile Vile Usikute Wewe Ni Mmoja Wa Watoto Wangu Wa Nje Hivyo Nafurahi Kuwa Umenijua Leo Baba Yako Mimi. Vipi Mama Yako Hajambo?
 
aaaaaah broooh mind ur language.....alie post anaweza kuwa na ajira nzuri kuliko wew

Kijana Tulia Tuli Niachie Huyo " Boya " Nimnyooshe! Huwa Nawapenda Mno MAPOPOMA Kama Yeye. Usihangaike Nae Na Niachie " Nichagame " Nae Mwenyewe. Kakutana Na Battle Hardened General Sasa Ngoja Aisome Namba. Na Bahati Nzuri Nilimuonya Mapema Lakini Naona Kuna Kitu Anakitafuta Kwangu Na Sasa Anaanza Kukipata Taratibu.
 
nadhani hata rudia tena kazoea kule fesibuku

Kumbe Na Wewe Ni Mpumbavu Uliyetukuka Kama Huyo Mwenzio? Halafu ID Yako Mkuu Ni Ya " Bwabwa " Mmoja Hivi MAARUFU Yupo Hapa Marseille Ufaransa Je Ndiyo Wewe au?
 
Story ya mazingira ya kibongo lkn unatuaminisha ni ughaibuni.

Hii ni chai tu.
 
Kumbe watusi ni manyumbu kiasi hichi

Mwanamke wa kibelgiji tangu lini akavaa khaga?

Eti nikianika mkufuli wangu kambani,Ufaransa pia wanaanika nguo kwenye kamba?

Kumbe Michelle Obama na Jennifer lopez wanafanana?

Ataingiaje chumbani kwenu bila kupiga hodi?kwani hicho chumba hakina mlango?

Kwani bafu lipo nje mpaka apitie sebuleni?
 
Anapenda kufanya majukumu ambayo kimsingi anatakiwa kufanya binti yake.

  • Anapenda sana kuwa karibu na mimi pale binti yake akiwa hayupo.

  • Tukiwa pamoja anapenda niweke mikanda ya picha za " x " au za kimahaba zaidi.

  • Tunapokuwa tunakula chakula hata binti yake akiwepo anapenda mno kunikonyeza.

  • Hung'ang'ania kufua nguo zangu.

  • Hupenda kunipigia simu mara kwa mara kuliko hata anavyompigia binti yake.

  • Muda mwingine hata nikianika mkufuli wangu nje kambani yeye hupenda kunianulia.

  • Kila nikiwa natizama TV usiku hasa habari hujipitisha mbele yangu na khanga kwenda kuoga.

  • Hupenda mno kuniwekea maziwa ya mtindi, karanga mbichi na maparachichi.

  • Hupenda mno kuingia chumbani kwetu bila hata kupiga hodi huku akiwa anatabasamu.

  • Leo kaniomba nitoke nae kwenda Marseille na turudi hapa Paris usiku.
Wajuvi wa mambo tafadhalini naomba msaada nisije nikajikuta nazidi kumshawishi mwenyezi mungu azidi kuniorodhoshea dhambi zangu zilizotukuka katika kitabu chake cha black book cha kule mbinguni! Na ninachoshangaa binti yake ambaye ni mke wangu wala hashtuki na naomba hapa pia niwe muwazi huyu mama mkwe wangu anafanana sana kimuonekano wote na Michelle Obamana Jennifer Lopez japo sasa ana miaka yake 53.

Nitawashukuruni kwa majibu yenu!
tumeshakuelewa mkuu
 
Ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana hivi unafikri kama mtu ana ajira yake mida kama hii atakaa kuwaza kuandika ujinga kama huu.
chezea mhaya wa kyaka. Kuna kipindi alikuwa anaenda kufanya interview alipostiga jukwaa lile husika wenda hajawai kupata kazi, mm huwa simwelewagia akiri zake maana alichokiandika juzi anakisahau anakuja na jipya kuwazingua new comers
 
chezea mhaya wa kyaka. Kuna kipindi alikuwa anaenda kufanya intervie alipostiga kukwaa like husika wenda hajawai kupata kazi, mm huwa simwelewagia akiri zake maana alichokiandika juzi anakisahau anakuja na jipya kuwazingua new comers
 
Back
Top Bottom