Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
- Thread starter
- #41
Kuna Dogo kuanzia mwaka huu uanze hajala mlo wowote kamili, anakulakula tu Mara mihogo mibichi, karanga mbichi, Nazi, yaani kama amepagawa hivi hadi afya yake inazorota kwa kukosa lishe, eti anatengeneza afya ya kitandani.Wakuu mnajenga taifa kweli nyinyi? saa hizi mnaongelea hizi habari Bujibuji baba, wamekufanya nini huko na asubuhi kaka?