Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
46,104
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
46,104 2,000
  • Dubwana kugoma kupanda mtungi.

  • Kibamia
  • Low sperm count

  • Dubwana legelege.
    • Wanaume wana matatizo tofauti tofauti, lakini wanajifariji kwa tiba feki ambazo hazina mashiko, Mara karanga mbichi, mchuzi wa pweza, mihogo mibichi, vumbi la Kongo etc​
    • Acha ufala kama una tatizo, achana na hayo maujinga ya mtandaoni, Nenda hospitalini, sio kila MTU ana tatizo kama lako​
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,348
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,348 2,000
Ukiondoa tatizo la low sperm count, (hili haliathiri ufanyaji)

Tatizo lenu kubwa wanaume ni kutokujiamini (lack of confidence).

Tumia vizuri kibamia, Tumia vizuri dakika zako chache, utafurahia na kumfurahisha mwenzio...
 
Unforgetable

Unforgetable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Messages
1,795
Points
2,000
Unforgetable

Unforgetable

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2019
1,795 2,000
Ukiondoa tatizo la low sperm count, (hili haliathiri ufanyaji)

Tatizo lenu kubwa wanaume ni kutokujiamini (lack of confidence).

Tumia vizuri kibamia, Tumia vizuri dakika zako chache, utafurahia na kumfurahisha mwenzio...
True

Cc Kingsmann
 
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
4,582
Points
2,000
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
4,582 2,000
Nawasalimia wanaume wote wenye vibamia.

Binafsi nasema hivi msidanganyike na hayo makorokoro aliyoyaweka Leo Mshana Jr wengine sisi ni wapenzi wa hivyo vibamia ila tu kisiwe lege lege.
Kibamia kinachosimama Dede ni kitramuuu acha kabisa 🙈🙈
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
8,076
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
8,076 2,000
Nawasalimia wanaume wote wenye vibamia.

Binafsi nasema hivi msidanganyike na hayo makorokoro aliyoyaweka Leo Mshana Jr wengine sisi ni wapenzi wa hivyo vibamia ila tu kisiwe lege lege.
Kibamia kinachosimama Dede ni kitramuuu acha kabisa
Nakazia ni venye kujua tu kukitumia
 
Forum statistics

Threads 1,342,750
Members 514,794
Posts 32,762,788
Top