Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

Wakuu mnajenga taifa kweli nyinyi? saa hizi mnaongelea hizi habari Bujibuji baba, wamekufanya nini huko na asubuhi kaka?
Kuna Dogo kuanzia mwaka huu uanze hajala mlo wowote kamili, anakulakula tu Mara mihogo mibichi, karanga mbichi, Nazi, yaani kama amepagawa hivi hadi afya yake inazorota kwa kukosa lishe, eti anatengeneza afya ya kitandani.
 
Aisee Buji ndio mambo ya kisasa hayo sasa tutafanyaje kaka? Nimewahi kukaa kaa kwenye duka la dawa la Rafiki yangu kupiga stori pale magomeni dawa anazouza sana ni Cialis na Viagra kaka, yaani wanakuja watoto wa miaka 22 na 25 wananunua Cialis daily, jamaa kila siku anaenda abroad kuongeza mzigo kaka, hapo ndio tulipofikia sasa. Wahenga wanasema kiingiacho mjini si haramu.
 
Ukiondoa tatizo la low sperm count, (hili haliathiri ufanyaji)

Tatizo lenu kubwa wanaume ni kutokujiamini (lack of confidence).

Tumia vizuri kibamia, Tumia vizuri dakika zako chache, utafurahia na kumfurahisha mwenzio...
Kunywa soda naja kulipa, umesema kweli wengi hawajiamini, halafu wengine papara nyingiii unajikuta anakushika hapa mara kakimbia kule mara kakubinya ziwa kama analinyoa, mara paap keshakupandia kama guta na bahati mbaya dakika mbili kamaliza
 
Halafu Alirudi kazini na kisirani kama chote.. Hapohapo mnamgogoro wa yeye kuwa na michepuko, mwenyewe anajiona kidume hajui huo ndo mwanzo wa kusaidiwa, wajanja wanajua kulinda wake zao
 
Hawa wenzetu wana matatizo sana basi tu japo hata sisi tunayo yetu ila sometimes wanafeli sana,mama akikutana na shamba boy inakula kwake
 
Linguistic hilo ni janga la dunia sana sana hii karne yetu ya 21.

Unawasaidiaje vijana kuwapatia ufumbuzi kwa hawa wenye upungufu wa gametiume?

Maana naskia kuanzia 30 yrs ni tatizo lisilokwepeka.

Back
Top Bottom