Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

Dah aliyeleta hii sumu ya kuponda vibamia na alaaniwe huko aliko maana wanaume wanakuwa wanyonge kweli

Huko pm wadau hawaamini kilichozungumzwa hapa na walaji husika kama ndo uhalisia au yamezungumzwa kuwafariji!!

Kwa niliyochangia mimi ni serious na ndo uhalisia naamini na wadada wengineo ni hivyo hivyo

Kuna haja gani ya kuwapamba ili tupate nini labda?? Inashangaza sana

Wanaume wenye maumbile madogo nawaombeni sana mjiamini mnapoenda kufanya yenu hii ndo silaha ya kwanza kabisa kwenu vinginevyo ukifika ukahisi kuelea ndo mwanzo wa mzee kulala pasipo kufanya chochote

Msisahau kututafutia mahela eeeh

Nb: bamia ninayo huku jamani huko pm msipoteze muda wenu
 
Tuachieni bamia zetu yaani mnavyoumia utafikiri mnavitumia nyie
We unalazimisha vitu havipo, nani kaumia sasa hapa.

Nikaumia kisa we umekisifia kibamia, ninaokutana nao wanaisifia inatosha!

Mie siwapingi wapenda vibamia, kuleni vibamia, wapenda saizi ya kati watakuja kwetu, wapenda miguu ya watoto wataenda kwa miguu ya watoto..
Wote wapenda saizi moja wengine wakimbilie wapi!![emoji3]
 
Hahahahaha mnanifurahisha sana leo
We unalazimisha vitu havipo, nani kaumia sasa hapa.

Nikaumia kisa we umekisifia kibamia, ninaokutana nao wanaisifia inatosha!

Mie siwapingi wapenda vibamia, kuleni vibamia, wapenda saizi ya kati watakuja kwetu, wapenda miguu ya watoto wataenda kwa miguu ya watoto..
Wote wapenda saizi moja wengine wakimbilie wapi!![emoji3]
 
Kila nikikutanaga na hili jina BUJIBUJI huwa naukumbuka uji unaotokota [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom