The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,140
- 116,065
Ndama mutoto ya Kigoma-Ujiji.
Jamaa alikuwa na tamaa yule sijawahi kuona.
Lakini mimi mpaka kesho ananiheshimu.
Sio mbaya ukatupa full story ya wewe na huyu ndama
Ndama mutoto ya Kigoma-Ujiji.
Jamaa alikuwa na tamaa yule sijawahi kuona.
Lakini mimi mpaka kesho ananiheshimu.
Mkuu Kiranga,
Hii stori ni ya kweli? Kama ni kweli huyu jamaa anakamata namba moja. Julius huyu aliyekuwa anaogopwa bado kidume kikamuingiza mjini.
Hapana, nimemkubali.
Babu wa Loliondo nampa kombe.
CC: Baba V. (ona Frank Wanjiru alivyoandika kwa maadili bila kumtaja muhusika direct)
Imekuwaje na ujanja wangu wote nisimjue huyu legend? kweli niliuchezea utoto wangu.
Simbaulangas mbili nafkr zinaweza kuingia kwenye hii listSarah Simbaulanga?
Na yule mwenzie jina limenitoka kidogo.......
Babu wa Loliondo nampa kombe.
Nyerere alikuwa bonge la debonair kwa watubwake.
Muna mshkaji alikuwa anaenda Ikulu, akawa anafukuza tausi, walinzi wa Ikulu wakawa wanataka kumghasi, Nyerere akamuita (jamaa mtoto kama miaka kumi hapo) akaanza kumuuliza kwa nini unawakimbiza tausi, dogo akasema anataka kuwafuga aone kama kweli manyoya yao yanang'aa kwenye giza na kama akiyawahi kuyaweka pamoja yanaweza kuzaliana.
Nyerere alikuwa anaongea naye kama na yeye mtoto, bado kidogo ampe tausi mpaka mlinzi mlinzi mmoja akaanza kumwambia.habari za nyara za taifa na nini, ikabidi aseme "kweli" akaghairi.
Kwa hiyo Nyerere huyu huyu anayeonekana mkali baba wa taifa, alikuwa na angles zake ukimpatia alikuwa mtu poa sana.
Kuna wafanyakazi wa Ikulu kibao walikuwa wanamlia timing mzee nina matatizo haya na yale sijui kimepanda kimeshuka, ukiangalia mzee wa Kindengereko kafanya kazi Ikulu mpishi mpishi, kapita pita kwa Butiku kapewa audience ya dakika tano na Nyerere , mzee anaagiza Mzee Mbonde ajengewe kijumba cha kiushkaji.
Nyerere ikuwa.na.huruma.filani.za.kibinadamu, lakini.akibadilika.kabadilika.
Kuna siku alibadilisha baraza la mawaziri, Edgar Maokola-Majogo alikuwa.naibu waziri akaambiwa katupwa nje, akaenda akamlilia Nyerere mpaka Nyerere kamrudisha.
Nikaona.duh, huyu ndiye anayeitwa haambiliki kumbe na yeye ana.soft spots zake.
Batenga alijua kama Nyerere angetaka kumtupa.jela angemtupa bila hata kesi. Kwa hiyo hakujisifia, waliokuja kutoa mkanda walinzi.wa Nyerere.
Batenga alijua Nyerere si mtu wa kumind.sana mali.
Akampiga kama hana akili nzuri, mpaka Nyerere mwenyewe akachekecha akashindwa kummaliza.Muhaya yule.
Sasa rais mzima am drag Batenga mahakamani waende kugombwa matofali?
Akaagiza mengine tu, usikute alifyatuliwa.na JKT, National Housing or something
Ahahahahahahahahahahaha hapa tuache watoto wa born here here as were.
Unachabo wazee wakigawana maumivu ya huyu kakake Bishanga
Semeji !huyu alikuwa baraaaaa
JK alikuwa anatulizwa na yeye!
Thabitha Siwale aliwahi kumpangisha foleni ofisini kwake
Siwale akiwa Headmistress
JK akiwa Raids
Na baaado ulipofika muda wa vipindi since zamu yake ilikuwa bado,mama akenda zake kupiga BIOS darasani after 80mins akarudi,enhee niwasaidie nini ndugu zaangu!
Ahahahahahahahahahahaha JK akaona yeeeeees hiki kichwa nakitaka hiki!
By that time waziri wa elimu alikuwa nani sijui ( Kiranga nikumbush) enh waaaah Chediel Mgonja kama sikosei.(mtu apitie archives fresh)
Jamaa akawa anajisevia videnish pale zanaki na jangwani sec.JK akaipata hiyo!
Ah akaona huu wehu,airtime RTD fasta natengua uteuzi wa huyu kama waziri wa elimu
Natangaza uteuzi wa Thabita Siwale kuwa waziri wa elimu!
Niliambiwa kisa cha JK kuwa ofsn kwa Headmistress ilikuwa summons ya wazazi ambao watoto wao walipigwa suspension!!!
Kwa hiyo Nyerere nae kuna nyakati alikuwa anatulizwa na anatulia vizuri tu!