Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Babu wa Loliondo nampa kombe.
Babu alifunika balaa cha ajabu kuna jamaa zangu huwa nawatania walikula loss eti wanasema jero kitu bana? Wakati gharama halisi walizotumia ni zaidi ya laki3 kwa kila kichwa bado na muda walipoteza. Kutoka shy ni landcruiser tu ndo zilikuwa zinakubali kukodiwa na kila mtu walichaji laki2 go & back magari mengine hiace, costa, fuso, na mabus walikuwa wanatosa!