Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

Hahaha, Ndama mtoto ya ng'ombe I will personally vouch for his mischief.

Alinifanya mpaka nimfungulie kesi polisi Magomeni, enzi hizoooooo.

Kuna mchizi mmoja anaitwa Batenga, alikuwa tapeli kabla neno la tapeli halijajulikana.

Jamaa alienda kwa Nyerere akamkuta Nyerere anafyatua matofali kibao, akawa anapiga naye story huku ananyoosha mikono kwenye matofali.

Kesho yake Nyerere akasafiri, jamaa akaja na malori, akaanza kusomba matofali, alipoulizwa akawa mkali, nyie hamkuniona nakubaliana na mzee jana hapa?

Walinzi wa Nyerere wakaogopa kuuliza, Nyerere akazidiwa na kazi, kuja kushtuka kaibiwa matofali kibao hakuwa hata na muda wa kufuatilia.

Batenga akajenga nyumba ya nyuma ya Karibu Hotel.

Or so goes the legend.

Kiranga I wonder kama uliwahi sikia Bijampola. Mitaa ya Livingstone kariakoo nilioneshwa watu walio fanya hiyo ishu ..it was bigger than Desi enzi Hizo
 
Kiranga I wonder kama uliwahi sikia Bijampola. Mitaa ya Livingstone kariakoo nilioneshwa watu walio fanya hiyo ishu ..it was bigger than Desi enzi Hizo

Jina kama nalikumbuka, kitambo sana.
 
1..jk..2.,.babu wa loliondo...,3...papaa msofe 4...el 5...mwakembe
 
list yako ni fake.kuna matapeli sijawaona.
papa msofe,ndama mtoto wa ng'ombe,ostaz juma na musoma,cheif kiumbe nk.
Hebu fafanua kidogo Ostaz Juma utapeli wake,mbona ni kama underground sana
 
Kiranga I wonder kama uliwahi sikia Bijampola. Mitaa ya Livingstone kariakoo nilioneshwa watu walio fanya hiyo ishu ..it was bigger than Desi enzi Hizo

Ndama mtoto wa ng'ombe nilisoma nae primary, Msimbazi mseto alihamia akitokea kigoma..alikuwa bonge la ---- tunampiga vibao. Siku hizi bonge la tapeli! Maisha bana.
 
Lilikuwa Basi la kwenda bukoba..miezi mitatu watu walilipia nauli kabisa hilo basi walioneshwa picha tu liliitwa Bijampola...alikuwepo na mzungu mmoja kwenye utapeli huo..watu walilala mnaZi mmoja kulisubiri hilo Basi..halikutokea

Now I remember, kuna jamaa walikuwa wanaenda Burundi walinipa hii story.
 
Hahaha, Ndama mtoto ya ng'ombe I will personally vouch for his mischief.

Alinifanya mpaka nimfungulie kesi polisi Magomeni, enzi hizoooooo.

Kuna mchizi mmoja anaitwa Batenga, alikuwa tapeli kabla neno la tapeli halijajulikana.

Jamaa alienda kwa Nyerere akamkuta Nyerere anafyatua matofali kibao, akawa anapiga naye story huku ananyoosha mikono kwenye matofali.

Kesho yake Nyerere akasafiri, jamaa akaja na malori, akaanza kusomba matofali, alipoulizwa akawa mkali, nyie hamkuniona nakubaliana na mzee jana hapa?

Walinzi wa Nyerere wakaogopa kuuliza, Nyerere akazidiwa na kazi, kuja kushtuka kaibiwa matofali kibao hakuwa hata na muda wa kufuatilia.

Batenga akajenga nyumba ya nyuma ya Karibu Hotel.

Or so goes the legend.
Ahahahahaha Batenga alikuwa legend kweli sekta hii!
Aliwahi kuingia dukani kuulizia suit,akaipenda moja.akuliza chumba cha kujaribu ili akaonyeshwa kuingia kapiga uzi wake fresh paap akatoka!
Wauzaji, mzee vip?
Akaanza kuwashangaa wao,kwani vp kijana?
Mzee suti hujalipia
Nyie vijana mna akili kweli,ina maana mimi nimekuja U.chi hapa?
Huyooooooo anafungua mlango,taartiiiiiibu anaambaa na samora!

Hiyo Tisa,
Lile jengo la ghorofa moja pale Victoria unalikumbuka habari yake?
Batenga habari nyingine!
 
Mkuu una kithethe cha vidole eeh? hivi ni IFM au IMF?

na mie ndo nilikiwa najiuliza"AMETOKA IMF AU IFM KUJA NCHINI NA KAMA IFM ikawaje kwani IFM iko nchi gani na Mkapa yupo Nchi gani.....!!!
 
Hahaha ngoja na mie nitaje matapeli wa maneno tukawaamini.
Zitto na list ya mabilioni ya Uswizi

Hosea na kesi tano kubwa za mafisadi..

Mwakyembe na jina la mmiliki wa richmond....

Mbowe na video ya walipuaji mabomu arusha...

Sitta na waliofoji saini za hati za muungano

Mkulu na list ya wauza bwimbwi....
 
list yako ni fake.kuna matapeli sijawaona.
papa msofe,ndama mtoto wa ng'ombe,ostaz juma na musoma,cheif kiumbe nk.
Acha umbumbumbu wewe,hakuna tapeli walevo ya Balali au Alex massawe kati ya hawa uliowataja hapo,kwanza hakuna hata aliyetafutwa na Interpol kati yao wote hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom