Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
WamakondeKaka Ntwara huijui vizuri. Mimi nilipewa uroda kwa kujifanya mdogo wake mstaafu fulani wa kusadikika. Halafu hawana shida na pesa yako. Utoe ukipenda.
WamakondeKaka Ntwara huijui vizuri. Mimi nilipewa uroda kwa kujifanya mdogo wake mstaafu fulani wa kusadikika. Halafu hawana shida na pesa yako. Utoe ukipenda.
Mkaldayo hapa unaongelea nini? Sikupati kabisa.Na nyakati zile sura za wachezaji zikikuwa kwenye magazeti tu. Qureshi Ufunguo nilimuona kwenye gazeti Simba ile ya 2003 mara moja tu. Sura yake nishaisahau.
Ulaya waliuana Sana ndo uaminifu ukaja.ilikuwa ukimtapeli mtu anakusaka kimya kimya hata miaka akikudaka tu unakula bullets ukamsalimie shetani,hii ikawajengea Sana uoga wazungu kwamba nikimtapeli tu mtu sina maisha marefu,ndo wakawa waaminifu Ili kulinda uhai wao.Kweli na kundi hilo hua wanatapeliwa sana kwa ajili ya shida zao.
Ila vitu vingine ni kujitaftia tu laana zisizo na msingi, mtu anapambania maisha inakuja tena unamtapeli
HaaaHilo Kanyaboya nilishalivaa hapo Kariakoo Mtaa wa Kongo. Nilioneshwa Shati zuri Sana enzi hizo kutoka Uganda likiitwa la Juliana lina picha ya ndege. Tukakubaliana bei Ila huyo tapeli kanipeleka uchochoroni eti barabarani kuna njangu. Nikatoa pesa ndefu nikampa na yeye akasepa. Kwenda mbele nikafungua ule mzigo wangu. Nilistuka karibu nizimie kwa nilichokiona. Yaani niliuziwa vipande vya vitambaa ambavyo fundi cherehani huwa wamevikata!
Hiyo nilikutana nayo karikoo hapo fourway 2006,jamaa kanibembeleza nikakubali bila kuuliza bei,baada ya kumaliza kubrashi nauliza bei naambiwa elfu nne na miasita,he,nikasema kulikoni ,eti kahesabu alivyokuwa anachovya hiyo kiwi,nililipa,Tangia siku hiyo nikajua hapo kariako wamejaa matapeli sio wabrashi viatu.siku hizi nikipita pale nikiwa na viatu vimechafuka Huwa wakiniita Huwa nawasonya tu napita zangu.Msimbazi police kuna mangi mmoja enzi zile za kushawishiwa ubrash viatu bei hakutajii baada ya kubrash et ananiambia KILA mchovyo wa kiwi sh mia 500.
Kuna mmasai alikuwa anatafuta kiwanja kikubwa, ss pale msikitini kwa chini kule kuna shule ya sekondari ina eneo kubwa kuna ukoka mzuri sana. Yule mmasai walipomuuzia alimwelekeza kule kwenye ukoka ataweka ng"ombe na maji watakunywa pale mtoni kuna mto karibu sana. Sasa wakati wa Swala km kawaida watu wanaenda masjid masai anafukuza watu eeehhn nani wewe unachezea sehemu yangu anawafukuza na bakora. Basi hadi polisi wakaja pale kumtoa masai maana ilikuwa kasheshe.Ielezee kidogo hii mkuu![]()
![]()
![]()
Zamani mpira ulikuwa unatangazwa redioni,wachezaji huwajui sura. Namna pekee ya kumjua ni umuone picha yake gazetini.Mkaldayo hapa unaongelea nini? Sikupati kabisa.
Na nyakati zile sura za wachezaji zikikuwa kwenye magazeti tu. Qureshi Ufunguo nilimuona kwenye gazeti Simba ile ya 2003 mara moja tu. Sura yake nishaisahau.
Ile Simba ya 2003 makundi nadhani alichezaHivi Ufunguo alikuja cheza Simba, nilidhani aliishia Milambo tu...
Kimti Damian amegariki around 2019Eeeh nasikia baada ya kustaafu soka akaanza kufundisha KIFARANSA mashuleni, alifariki nadhani miaka ya 2000 mwanzoni nadhani
😆😆😆 Radio band 3
Umenikumbusha mbali sana
Alikuwa mrundiKifaransa alikijulia wapi huyu kwamba?
Leo nimekumbuka Miaka ile ya 90's Nchini Tanzania kulibuuka utapeli wa ajabu sana mpaka mwanamuziki HEMEDI MANETI wa bendi ya CCM ya Vijana Jazz akatunga wimbo unaitwa "OGOPA MATAPELI". Mwaka 1993 nikiwa mkoani nakumbuka kuna tapeli aliwaliza watu balaa. Timu ya SIMBA SC ilikuja Mkoani Mtwara kucheza na timu ya Bandari Mtwara. Sasa baada ya mechi usiku wake washabiki wa Simba wakaandaa hafla ya kuwapongeza Simba SC hasa ukichukulia mwaka huo Simba SC alikuwa anafanya vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tapeli mmoja mgeni machoni kwa watu nae akatinga kwenye sherehe na tracksuit zake nyekundu nadhifu, akajichanganya kwenye umati wa washabiki. Dada mmoja mrembooo akajilengesha, maana alikuwa anamtafuta mchezaji wa SIMBA akiitwa DAMIAN KIMTI, alikuwa anampenda sana kwa uchezaji wake. Enzi zile hamna TV, hamna magazeti ya kutosha, Mastaa unawajua kwa jina tu kupitia Redio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamaa akamdanganya dada wa watu yeye ndio DAMIAN KIMTI akala uroda wa bure kwa dada yule. Kesho yake asubuhi na mapema jamaa akaibukia sokoni na makapu yake akiwa amevalia tracksuit zake nyekundu anatembea kwa machejo kama mchezaji mpira kweli. Watu wanaonyesha kwa vidole KIMTI yuleeee anapita KIMTI yuleee, basi sokoni anapewa tu mchele, maharage na bidhaa zinginezo bure kwa jina la KIMTI kumbe KIMTI feki. Sasa balaa likaibuka, Simba wameshasafiri kurudi DSM kuendelea na mechi zao,KIMTI feki bado anaonekana mtaani hasafiri, ndipo dada wa watu uzalendo ukamshinda akamchana hadharani, "Nimekupa uroda nikijua ninampa uroda DAMIAN KIMTI kumbe mshenzi tapeli tu wewe"....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila zama na kitabu chake, zama hizi za Kidigitali matapeli wanakutapeli kwa njia za kidigitali mara nyingi wala huwaoni ila zama zile lazima muonane uso kwa uso hivyo walikuwa wanatumia akili nyingi sana.... Je umeshawahi kutapeliwa na wewe mpaka ukajiona ni mjinga??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji419]
Sawa. Asante kwa taarifaAlikuwa mrundi
Akao mchagaa