Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,138
Wadada walipigwa sana mimba sababu ya chips tuZamani hakuna kuwaza mara mbili teena km huyo mtu ni mwanamuziki anakuektia nyimbo mbili tuu unaachiwa mzigo. Zile zama acha tuu zipite.
Wadada walipigwa sana mimba sababu ya chips tuZamani hakuna kuwaza mara mbili teena km huyo mtu ni mwanamuziki anakuektia nyimbo mbili tuu unaachiwa mzigo. Zile zama acha tuu zipite.
Mi alibrash kimoja,akanitajia Bei,nijamwambia sikupi,akasema nimrudishie dawa yake,nikamwambia afute kiwe Kama mwanzo au abrash na lingine,akabrash,nikampa Mia mbiliHiyo nilikutana nayo karikoo hapo fourway 2006,jamaa kanibembeleza nikakubali bila kuuliza bei,baada ya kumaliza kubrashi nauliza bei naambiwa elfu nne na miasita,he,nikasema kulikoni ,eti kahesabu alivyokuwa anachovya hiyo kiwi,nililipa,Tangia siku hiyo nikajua hapo kariako wamejaa matapeli sio wabrashi viatu.siku hizi nikipita pale nikiwa na viatu vimechafuka Huwa wakiniita Huwa nawasonya tu napita zangu.
Unaidharau,chips Ina harufu nzuri bna!!!Wadada walipigwa sana mimba sababu ya chips tu
Aisee hii nimecheka dah 😂😂Nakumbuka mmasai mmoja aliuziwa Msikiti mkubwa wa Ijumaa wa Morogoro.Sisi tunaenda kufanya Ibada tunafukuzwa na yule masai.Mbona ilikuwa mfacane war ile .
Kuna vitu vinafikirisha sana,hivi unawaza kufanya mapenzi na mtu ambaye unamsikia redioni tu
Hujawahi hata kumuona kwa sura duh
Mapenzi shikamoo!!!!!
Hahaha siku hz wanataka aifoni wenzao enzi zile ilikua ni chipsi tu na fanta baridiiiUnaidharau,chips Ina harufu nzuri bna!!!
Hiki Kitu NimekuonaNakumbuka nilikuwa nina KAUNTA BOOK kubwa nakata picha za wachezaji na wanamuziki unabandika humo kwa gundi ndio ALBAMU yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419]
Alifanikisha nn?!!!!!Dah umenikumbusha mbali sana miaka ya ,86 nipo darasa la nne enzi hizo alikuja jamaa mmoja hivi sijui ni kabila gani yule mwamba ila ndio hivyo alifanikisha
Kuna ile kanyaboya ya kupelekewa Sam wa ukweli huko huko lakini Sam wa ukweli alisikia akakanushaMaswa, Simiyu walishaletewa Mr.Nice fake[emoji3][emoji3]
AlikufaIla dokta shika ni kiboko zaidi ya mamba aisee hivi alisharudi kwao Urusi au vipi?
Dah umenikumbusha mbali sana miaka ya ,86 nipo darasa la nne enzi hizo alikuja jamaa mmoja hivi sijui ni kabila gani yule mwamba ila ndio hivyo alifanikisha
Alishafariki mbona?Ila dokta shika ni kiboko zaidi ya mamba aisee hivi alisharudi kwao Urusi au vipi?
Hivi niliwahi kushuhudia Muuza kuku.Mhuni kachagua majogoo makubwa 3, akamwambia amsubiri nje ya nyumba akachukue pesa, kumbe nyumba wala sio yake yule Msela, akaingia ndani akapitia mlango wa nyuma2006 kuna machinga alipita mtaani kwetu anauza Radio na urembo urembo, pale mtaani kwetu Kuna kichochoro flan kimekaa kama mlango wa kuingia kwenye nyumba ya mtu.
Sasa muhuni mmoja kwenye mlango wa kile kichochoro akaweka pazia moja limechoka kiasi alaf akasimama kwa upande wa nje yule muuza radio alivyofika muhuni akamsimamisha akaelewana nae bei alaf akamwambia ngoja niingie ndan nikufatie hela akasogeza pazia akachoma ndichi.
Sasa machinga anashangaa masaa yanaenda mtu harudi alivyo choka akaamua kufununua lile pazia kuchungulia anashangaa anaona njia inatokea upande wa pili, kilicho tokea hapo ni kilio tu.
Yupi Sasa,Og au Kimti fake?Dah Damian Kimti R.I.P ticha wangu huyu wa primary
Marahaba haksante.Shikamoo mkuu
Nilifanya utapeli, Sasa hivi ninamaisha yangu, hata nikikuona umedondosha milioni moja nitakurejeshea.So na wewe ushakuwa muizi mkuu
Bro wangu alitumwa mafuta ya taa akiwa na dumu la lita 5 na elfu 5 mkononi akakutana na mshkaji aliyemuambia jana Benki Kuu imeibiwa hivyo anapita mtaani kukagua noti.
Bro akakabidhi noti