Matapeli wa miaka ya 90's walikuwa balaa sana

Kuna jamaa alikujaga mkoani kwetu enzi za chemsha bongo ina hit eti anajifanya Nigga J, basi watu wakawa wanamshobokea ananunuliwa mihogo ya kukaanga na kachumbari bure. Nigga J gani hana hata ela ya kununua mihogo. Kakalili mistari anawashudhia rhymes wana.
Looking back nacheka sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka mmasai mmoja aliuziwa Msikiti mkubwa wa Ijumaa wa Morogoro.Sisi tunaenda kufanya Ibada tunafukuzwa na yule masai.Mbona ilikuwa mfacane war ile .
Ielezee kidogo hii mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jamaa alikujaga mkoani kwetu enzi za chemsha bongo ina hit eti anajifanya Nigga J, basi watu wakawa wanamshobokea ananunuliwa mihogo ya kukaanga na kachumbari bure. Nigga J gani hana hata ela ya kununua mihogo. Kakalili mistari anawashudhia rhymes wana.
Looking back nacheka sana.
Duh[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna jamaa yangu anatoka Tanga likizo kipindi kile mabasi ya mikoani yanaanzia mnazi mmoja,alikuwa anakuja na begi la spear za magari kwao kulikuwa na magari mabovu kwa hiyo kufanya jambo ili aje tupige mpunga,kufika maeneo ya Kariakoo akakutana na wazee wa kanyaboya,likadondoshwa waleti mwana akaliokota jamaa mwizi akajifanya na ameliona waleti kama vipi wakagawane minoti,huku nyuma kuna jamaa analalamika kapotea waleti yake yenye mifeza kibao,jamaa yangu akaingia mazima,akaambiwa nipe begi nikushikie harafu tukutane maeneo flani tukafawane..jamaa akaachia begi akabaki na waleti yenye mikaratasi.
Huwo mchezo nilichezewa, pale maeneo ya Tandale, kipindi kile Tandale ya Lumbesa.
Sikua na pesa, ila jamaa alifanikiwa kuondoka na kiredio changu, Ki philpis Dukani kilikua kinauzwa 700.

Ila na mimi sikua siku iendelee iwe mbaya kwangu, nikaenda pale karibu na ulipo msikiti, kutoka tandale sokoni kama unakuja Argentina, Zamani walikua wanashusha miwa pale.

Nikamtafuta mwenye njaa pale, nikamwelekeza akakubali kucheza. Yeye ndiye nilifanya ndiye, mdondosha burungutu, mimi mwokotaji. ili iwe rahisi kuelewesha kama nilivyo fanyiwa, mpaka mtu aingie.

Mtu wa kwanza kumwangushia, alikua mkulima alieleta mazao pale, kumbe jamaa mzigo bado ulikua kwa dalali haujauzwa, hivyo alikua mtupu nikaachana nae.
Wa pili mmachinga na nguo zake mkoni huyu alilia Tsh.3,000 pale uwanja wa fisi.
 
So na wewe ushakuwa muizi mkuu
 
Kafariki juzi juzi hapo 2020View attachment 2198502..........alikua pale st.mary ya tabata akifundisha kifaransa na hisabati
Ila zamani bhana timu ya ligi kuu imevaa jezi za Manchester United na hawana wasiwasi wowote,halafu namuona Azim Dewji mwanzo kule,hii familia ya Dewji imeanza ujanjaujanja mapema sana kwenye club ya Simba
 
Huwo mchezo nilichezewa, pale maeneo ya Tandale, kipindi kile Tandale ya Lumbesa.
Sikua na pesa, ila jamaa alifanikiwa kuondoka na kiredio changu, Ki philpis Dukani kilikua kinauzwa 700.

Ila na mimi sikua siku iendelee iwe mbaya kwangu, nikaenda pale karibu na ulipo msikiti, kutoka tandale sokoni kama unakuja Argentina, Zamani walikua wanashusha miwa pale.

Nikamtafuta mwenye njaa pale, nikamwelekeza akakubali kucheza. Yeye ndiye nilifanya ndiye, mdondosha burungutu, mimi mwokotaji. ili iwe rahisi kuelewesha kama nilivyo fanyiwa, mpaka mtu aingie.

Mtu wa kwanza kumwangushia, alikua mkulima alieleta mazao pale, kumbe jamaa mzigo bado ulikua kwa dalali haujauzwa, hivyo alikua mtupu nikaachana nae.
Wa pili mmachinga na nguo zake mkoni huyu alilia Tsh.3,000 pale uwanja wa fisi.
Hivi uwanja wa fisi bado upo na vibe lilelile?
 
Kuna jamaa yangu anatoka Tanga likizo kipindi kile mabasi ya mikoani yanaanzia mnazi mmoja,alikuwa anakuja na begi la spear za magari kwao kulikuwa na magari mabovu kwa hiyo kufanya jambo ili aje tupige mpunga,kufika maeneo ya Kariakoo akakutana na wazee wa kanyaboya,likadondoshwa waleti mwana akaliokota jamaa mwizi akajifanya na ameliona waleti kama vipi wakagawane minoti,huku nyuma kuna jamaa analalamika kapotea waleti yake yenye mifeza kibao,jamaa yangu akaingia mazima,akaambiwa nipe begi nikushikie harafu tukutane maeneo flani tukafawane..jamaa akaachia begi akabaki na waleti yenye mikaratasi.
Neno "kanyaboya" lilitokana na bondia flani wa Burundi alikuja Tanzania kuzichapa alikuwa ba mikwara saana unaambiwa kabla ya pambano alikuwa anakimbia akiwa na gloves na mikwara kibao pale kariakoo.

Siku ya pambano yule bwana aitwae kanyaboya kilimkuta Kama bwana Mandonga.

Ndo watu wakaanza kusema kanyaboya kwa kitu Cha ubabaishaji au utapeli.

Kanyaboya
 
Kanyaboya ni kitu chochote kilichokuwa kinatumiwa na matapeli kukuaminisha kuwa ni kitu genuine. Mfano unaweza kufungia gunia matambara kwenye mfuko ukidhani umepewa shati. Ule mfuko wenye matambala ndiyo unaitwa kanyaboya
 
Kuna jamaa alikujaga mkoani kwetu enzi za chemsha bongo ina hit eti anajifanya Nigga J, basi watu wakawa wanamshobokea ananunuliwa mihogo ya kukaanga na kachumbari bure. Nigga J gani hana hata ela ya kununua mihogo. Kakalili mistari anawashudhia rhymes wana.
Looking back nacheka sana.
Hii ya watu kujifanya wasanii tumepigwa nayo sana hasa huku mikoani. Mi nakumbuka miaka michache iliyopita tumeenda kwenye show fulani sikumbuki ni msanii gani alikua anakuja kuperform. Sasa kuna wale ma underground hua wanatangulia mwanzoni, basi akapanda dogo mmoja akaimba wimbo wa "moyo wangu" ile kwaito ya diamond. Huo wimbo ulikua umetoka kama sio siku hiyo ni jana yake so watu wengi walikua hawaujui na kipindi icho kwaito ndio imekamata hatari. Unaambiwa dogo aliamsha bonge la shangwe ukumbini watu wakijua ni wimbo wake akaombwa urudiwe zaidi ya mara 2! Mashabiki acha tumiminike jukwaani kumtunza misimbazi 😄. Baada ya siku mbilitatu ndio tunakuja kugundua kumbe tulipigwa.
 
Kipind niko primary walikuja watu wawili kwa jirani wakamkuta housegal na mtoto wa mwenye nyumba wakawaambia mama yenu katuagiza vitenge anataka akashone.

Na yule mama alikua anapenda vitenge so alikua navyo vingii sasa kuuliza kitenge kipi wakasema tupe tu vyote ataenda kuchagua mwenyew vingine atarud navyo basi dada wa watu akakusanya vyote na begi akawapa kwa ajili ya kubebea.

Jioni maza house anarudi katika story dada akamwambia kuhusu wale wageni, mama akajua ashatapeliwa. Akampeleka yule h/girl polisi kutoa maelezo ila ikagundulika hahusiki dada akaachiwa na vitenge vikaenda.

Zamani watu walikua wanaiba kirahisi sio kama saivi
Na-comment kuhusu mstari wa mwisho. Hata siku hizi watu bado wanaiba kirahisi mno. Bado kuna watu wanapigwa kirahisi mno na hata ukisimuliwa huwezi kuamini kama kuna watu wajinga kiasi hiki. Mtu anaweza kuambiwa wekeza sh milioni moja baada ya wiki zitazaa na kuwa sh milioni mbili na akakubali bila hata kutafakari. Utadhani ni bado tuko enzi za Abunuasi za sufuria kuzaa.
 
Enzi hizo nikatinga mkoa flani nikajifanya mimi Prof J,enzi zile za zama za mawe,nikalamba advance payment,siku ya show kuna mwana akastukia chezo maana nilichokuwa nafanya kwa Stage hakifanani na mzee wa mitulinga,nikajifanya naenda chooni mazee hizo mbio nilizotimua Subaru haikamati,mbele kwa mbele nikadandia fuso la viazi ndiyo kimojaaa.
Maswa, Simiyu walishaletewa Mr.Nice fake😀😀
 
Enzi hizo nikatinga mkoa flani nikajifanya mimi Prof J,enzi zile za zama za mawe,nikalamba advance payment,siku ya show kuna mwana akastukia chezo maana nilichokuwa nafanya kwa Stage hakifanani na mzee wa mitulinga,nikajifanya naenda chooni mazee hizo mbio nilizotimua Subaru haikamati,mbele kwa mbele nikadandia fuso la viazi ndiyo kimojaaa.
Naona kwa hii story bado unaendeleza utapeli
 
Back
Top Bottom